MAISHA NI KUJITUMA

Habari mfuatiliaji wa makala hizi kila siku, hii ni siku ya pekee sana kuendelea na mipango na malengo kutimiza, Leo ni leo hakuna nyingine, hivyo jitahidi unaitumia vizuri sana kuhakikisha kila hatua yako inakupa matunda. Jitahidi leo kujaribu kitu ambacho umekua unakisema kesho kesho, masaa haya ni kwa ajili ya kufanya kitu kikubwa. Maisha hayatakuja …

JUU KUNA NINI ?

Habari ndugu mfuatiliaji wa makala hizi kila siku, leo ni siku mpya tena ya kufanya kwa ustadi na kuthamini kila saa kuona huwezi tena kulipata likishapotea, Jipangie malengo ya kufanya kila siku kuhakikisha unafanikiwa katika kila unalolifanya, hata isipotokea basi isikuvunje moyo kuacha kuendelea kufanya. Shida kubwa iliyopo kuanzia ngazi ya familia, jamii mpaka juu …

JUA MAMBO YANABADILIKA

Habari ndugu na rafiki yangu mfuatiliaji na msomaji wa makala hizi kila siku, siku mpya tena tumepewa ya kufanya kitu kikubwa, ile Safari uloanza, ule uamuzi wa kutenda endelea na Safari maana bado hujafika kule unakotamani kufika, Leo Ni fursa na kama moshi ukipita haurudi tena, hivyo itupe kutumia vizuri na kwa hamasa kubwa ya …

JIKUMBUSHE MIPANGO YAKO

Habari ya siku mpya mfuatiliaji wa makala hizi kila siku, Leo Ni siku ya pekee kufanya yale ambayo jana ulisema ungefanya, basi hii ni fursa kwako kwanza kumshukuru Mungu na pili kuitumia vizuri kwa ajili ya kukamilisha mipango yako Imekua kawaida kuwa na hamasa na jambo kisha baada ya muda kuliacha au kulisahau kabisa tena …

WAKIRUDI NYUMA, WEWE SONGA MBELE

Habari ya siku mpya ndugu mfuatiliaji wa makala hizi kila siku, ni siku ya pekee ya kuendelea kumshukuru Mungu kwa uzima na afya na hii inatupa nguvu kuwa bado tunaweza kufanya kitu katika maisha yetu. Moyo wenye shukrani hubarikiwa Sana, hivyo usiache kushukuru kwa siku mpya ya Leo Katika Safari ya maisha, hasa pale unapokuwa …

NYAKATI NGUMU ZINA FAIDA ZAKE

Habari za siku mpya ndugu mfuatiliaji na msomaji wa makala hizi kila siku. Ni jambo la heri na la kumshukuru Mungu kuweza kuiona siku nyingine mpya, siku hii ni njema Sana kufanya jambo au mipango yako vizuri ili kufika mafanikio ya kile unachokiamini Siku zinakimbia na muda unajongea, hakuna mtu ana uwezo kusimamisha hata dakika …

CHEKO NI TIBA YA MOYO

UTULIVU WA KICHEKO Niacheni kupaza kicheko Uso ugubikwe bubujiko Cheko hili la moyo uliko Na Meno ya nje nje na yaweko Furaha ni hazina moyoni Huja kujionyesha usoni Hii ni tiba yangu mwilini Cheko lenye bashasha machoni Raha ya kicheko kiwe ndani Huzuni na haipo mkononi Cheko lenye raha maishani Laonekana hadi usoni Mchoro huu …

Design a site like this with WordPress.com
Get started