Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku, leo ni tarehe 30 ya mwezi huu wa sita. Kuna jambo la shukrani kwa Mungu kukuwezesha katika siku za awali na hata sasa ukingo wa mwezi huu. Nikupongeze kwa juhudi yako ya kujifunza kila siku katika blogu hii. Utakua umepiga hatua kubwa kama mwezi huu ulijitoa kwa kufanya …
Continue reading “Jipongeze Ulipoweza, Jihoji Uliposhindwa Mwezi Huu Juni”