Leo ni Fursa, Itumie Vizuri Haipo nyingine

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku, Ni jambo la kumshukuru Mungu kupata neema hii ya kuona siku mpya tena, siku mpya mfano wa ukurasa mpya wa kuandika kitu kwa uzuri, ni siku ambayo hujawahi kuiishi zaidi ya kuipata leo, leo ni ya kwako, hii ni zawadi ya pekee mno kuipa heshima na kuithamini kuwa …

Kuza Wigo wa Ubunifu

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku, ni siku njema tena Mungu aliyotupa kuitumia vizuri na kuendelea kuijenga picha ya kile kila siku twakiwaza kukifikia. Leo ni kama tofali kuendelea kujenga nyumba tuitakayo. Pia ni fursa yako kubwa kujaribu na kutafuta suluhu ya mambo ambayo yamekua magumu kwenda, itumie vizuri sana na itumike kukujengea picha …

Unapojifunza Kutunza Muda, Huku Muda Ukipotea

Na Malenga wa Ubena Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku, tunamshukuru Mungu kwa nafasi hii ya pekee kabisa kuona siku mpya na njema. Ni wakati wa kuitumia vizuri ili mipango yetu isogee hatua zaidi mbali na ilipokua jana. Na hii ni nafasi kama unayo pumzi na nguvu itumie vyema maana muda ni rasimali ya …

WIKI HII UMEJIFUNZA JAMBO GANI?

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku, nikupongeze kwa muda wako unaotoa kujifunza kila siku, kila siku ni ya pekee na inapaswa kutumiwa vizuri. Maana ikipita hupita na kurudi huwa hairudi tena. Pole na majukumu ya wiki nzima tayari wiki moja imeshakatika na wewe ni shahidi wa mambo yako yalikwendaje kuanzia jumatatu hadi leo jumapili. …

Siku Hadi Siku Huwa

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku nikupe pongezi kujitoa kwako kila siku kujifunza na kupata kitu kipya cha kukusaidia katika maisha, maisha ni mtihani mkubwa unahitaji maarifa mengi ili kuyaelewa na kuishi katika kanuni ili kufika ngazi ya mafanikio yenye furaha na amani. Mungu ni mwema kutupa siku hii kuitunza na kuieheshimu maana ikipita …

Picha Ina Kumbukumbu

Habari mfuatiliaji wa blogu hii, nikukaribishe tena katika safari ya kujifunza kila siku, kuendelea mbele na safari ni sifa si mimea tu imeumbiwa, hata binadamu pia kusonga mbele ni haki yetu endapo nguvu itawekwa katika maarifa na kujifunza kila siku, haitakiwi kuishia njiani na kuacha lile uliloanzisha. Changamoto lisiwe jiwe kukuzuia na safari ya kusonga …

MAMBO 20 YA KUJIFUNZA KATIKA KITABU CHA “MY JOURNEY” Journey to the Land of Knowing Yourself na Mwandishi, Mhamasishaji na Mkurugenzi wa Kijani Kibichi Tanzania Adam Ngamange Kama zilivyo safari nyingine za kutoka eneo moja kwenda eneo lingine, vivyo vivyo kunayo safari ya kusafiri ndani yako kujua uwezo ulionao, vipaji au kipaji, majibu, vipawa na …

Ugumu wa Maisha Ulizalisha Wagunduzi, Ichangamotishe akili yako

Ilikua ni mada ambayo kila mtu aliaminishwa kuwa maisha yapo hivyo, na ikawa ni wimbo ambao kila mtu aliimba pasipo uhitaji wa chombo au vyombo, maana uliimbika, uliimbika na kila mtu nyumbani hadi njiani haikua ajabu ya wimbo huu, wimbo uliwasahaulisha matumizi ya ala za muziki, hata vyombo vya kuchonga vilishindakana katika eneo la wingi …

Ugumu wa Maisha Ulizalisha wagunduzi, ichangamotishe akili yako Ilikua ni mada ambayo kila mtu aliaminishwa kuwa maisha yapo hivyo, na ikawa ni wimbo ambao kila mtu aliimba pasipo uhitaji wa chombo au vyombo, maana uliimbika, uliimbika na kila mtu nyumbani hadi njiani haikua ajabu ya wimbo huu, wimbo uliwasahaulisha matumizi ya ala za muziki, hata …

Mabadiliko Si rahisi, ila Jitoe Mzima mzima

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku, leo ni siku ya pekee tena umepata ikiwa ni fursa ya kuamua kutenda kama kuna jambo bado umekua unajishauri kufanya, lini utaamua kutenda kama leo unaona bado muda, bado sana, au ngoja nitafanya kesho namna hii hutakua unapiga hatua yoyote katika maisha yako. Mshukuru Mungu kwa kuwa ni …

Design a site like this with WordPress.com
Get started