111: Jambo Moja Lakujikumbusha Tarehe 31 Julai na Mwezi Unaokuja

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku, nikupongeze sana kwa sehemu na hatua uliyoweza kusogea kwa mwezi huu wa saba na leo ikiwa ni siku ya kumaliza mbio za siku 31. Huenda kuna mengi sana ulipanga kuwa mwezi wa saba ningefanya moja mbili tatu. Mwezi umeisha na unaingia mwezi mwingine wa Nane. Naamini kuna kitu …

110: Ujasiri wa Simba Mwituni Haijalishi Ukubwa wa Tembo na Urefu wa Twiga

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku. Bila shaka wikendi yako ilikwenda vizuri na ni wakati wa kujipanga kwa ajili ya kuanza wiki mpya tena inayoanza na mwezi wa nane. Muda ni rasimali adimu ya kutunzwa kila siku za maisha yetu, wakati huu ni wa pekee sana wa kuendelea kujifunza zaidi na zaidi, karibu tushirikishane …

109: MWEZI UNAPOISHIA JIKUMBUSHE MALENGO YAKO YA MWAKA

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku, nikupongeze kwa siku kwenda vizuri na hata kama mambo yalikwama kwa namna moja ama nyingine kama u mzima bado nafasi unayo ya kujipanga tena na kujiboresha kila siku. Muda ni rasimali yetu kila siku inaenda wala haisimami. Nafasi hii ya Muda ni ya kuendelea kuipa nafasi ya heshima …

108: Kauli ya Chini ya Miaka 18

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku, leo ni siku ya pekee machoni petu. Kuiona ni neema kubwa sana na kuwa na pumzi na afya ni mtaji wetu wa kwanza, mshukuru Mungu kwa nafasi hii ya pekee, na kuthamini nafasi hii ni kutumia muda vizuri kwa kuwa ni rasimali adimu isiyoweza kulipwa ikipotezwa na pia …

107: MAMBO 27 NILIYOJIFUNZA SIKU 27 ZA MWEZI JULAI

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku, ipo sababu ya kumshukuru Sana kila siku kwa uzima na afya katika miili yetu. Na kama haupo vizuri kiafya pole na ni maombi yangu uwe mzima uendelee na shughuli za kujenga taifa. Muda unakimbia sana mwezi wa saba unaishia sasa, nimekuwa najifunza kila siku kwa mfululizo wa siku …

106: Ni Vitu Vidogo Katika Maisha vyenye Kuleta Thamani na Maana ya Maisha

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku, leo imekua siku njema sana ya kwenda kufanya makubwa na kwa kujituma zaidi, Kuwa na Pumzi na afya ni neema kubwa sana katika Maisha yetu, Nafasi hii si ya kupuuzwa hata kidogo. Ikiwa jana ilishindikana leo unayo nafasi ya kufanya kwa upya na kwa uzuri zaidi, na wakati …

105: KALAMU YA MWANDISHI- BABU,BIBI NA MJUKUU

Karibu Msomaji na Mfuatiliaji wa blogu hii kila siku, karibu katika simulizi halisi za kuelimisha na kutukumbusha kila siku, tutakua tukiendelea kupata nafasi hii ya pekee na Mwalimu wetu Emmanuel Makwaya, Karibu tujifunze pamoja katika simulizi ya BABU,BIBI NA MJUKUU Mjukuu: Mmh babu, hadi leo unadeka kwa bibi khaaah. Bibi : ‘akiwa anacheka’ embu mwambie …

105: Tunapokea Habari Nyingi Kuliko Tuwezazo kuzisoma, Chagua Eneo lako uwekeze

Habari ndugu na rafiki wa blogu hii kila siku, pole na majukumu ya kazi zako, kadri giza lianzapo huashiria mwisho wa siku yenye jua kuisha na muda wa usiku huingia kwa haraka, siku yako imekuaje ? Pole pale mambo yalienda vibaya tofauti na ulivyopanga, kama ungali bado na pumzi ipo nafasi ya kujiboresha na kujaribu …

104: Usidharau Hatua Ndogo, Jinoe Kila Siku Pasipo Kuchoka

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku, leo ni fursa ya pekee sana katika macho yetu, Ashukuriwe yeye atupaye nafasi ya pumzi na afya ya kuendelea kujiboresha na kujifunza kila siku. Leo ni sura nyingine ya kitabu cha maisha yetu inayopaswa kuandikwa vizuri zaidi ya ilivyokua hapo jana, leo ni uwanja mpya tena wa kujirekebisha …

103: Vita ya Umaskini wa Kipato Si kubwa Sana kama Vita ya Umaskini katika Maeneo haya 7

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku, u hali gani katika majukumu yako? Bila shaka siku yako ilianza vizuri na kama ilienda vibaya tofauti na kuona kwako basi nafasi ipo ya kutafakari nini? Kilikua tatizo na upate nafasi ya kurekebisha na kujiboresha zaidi. Urefu wa siku huenda haraka sana ukiangalia jua lilipochomoza na muda jua …

Design a site like this with WordPress.com
Get started