Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku, leo ni siku ya pekee kabisa. Pumzi na afya ni zawadi kutoka kwa Mungu, hivyo shukrani ni wimbo kwa kinywa cha Mtu. Leo ni fursa tena ya sisi kuendelea kujifunza zaidi, hivyo muda ulionao leo ni rasimali ya pekee ya kuwekeza katika kuboresha ndoto zetu, kazi zetu na …
Continue reading “102: Mazoezi ya Kijeshi hutufundisha Uvumilivu na kujiandaa kwa Ushindi”