MAENEO 10 YA FURSA KWA VIJANA TANZANIA KUWEKEZA

Habari mfuatiliaji wa blogu hii, leo ni siku njema na ya pekee ya kuendelea na mapambano katika malengo yetu na ndoto zetu, kuwa na pumzi ni neema ya kumshukuru Mungu sana, hivyo nafasi hii ya uzima si ya kupuuza, ila ni kuipa heshima kwa kutumia muda vizuri na kuwa chachu ya mabadiliko katika nyanja mbalimbali …

Nusu Ya Siku Na ya Mchango ni Wakati Jua halijazama

Habari mfuatiliaji wa blogu hii, nikupongeze wewe unayejitoa kutafuta maarifa kila siku, haijalishi kupoteza hamasa, au kuanza siku yako vibaya bado nafasi unayo ya masaa haya machache kumalizika, ukafanya kitu kikubwa cha kukusogeza mbele ya mafanikio yako, shukrani ya kuwa mzima na pumzi ni wimbo kila siku kwa Muumba na pia kwa wanaotuzunguka. Muda bado …

Anza Siku Yako Kwa Shukrani

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku, leo ni siku ya pekee ni ukurasa wa maisha kufunguliwa, huenda haijulikani kabisa itaishaje leo?, maana kuna waliolala moja kwa moja, hivyo kuwa na pumzi si jambo dogo la kupuuza au kuona ni kawaida, bali ujae na shukrani ya uzima. Maana maisha yana thamani ikiwepo pumzi, na hukosa …

Nilichojifunza Katika Picha hii Maishani

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku, tunakila sababu ya kumshukuru Mungu kwa siku mpya na uzima tena, ni deni kwetu kutumia vizuri kila dakika ili kuendelea kuweka nguvu katika malengo yetu na ndoto zetu, leo ni fursa ya pekee ya kurekebisha makosa, na pia kuendeleza yaliyo mazuri kwa maisha yetu na jamii zetu, isisahaulike …

Vitendo Havikwepeki, Katika Mchakato wa Matokeo

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku, leo ni siku ya pekee sana kuitumia vizuri, mshukuru Mungu kwa pumzi na afya kwa ajili ya kutumia vizuri muda na kuleta matokeo, leo ni siku ya pekee sana usianze kwa kuchoka au kuona kuwa umeshindwa mapema mwanzo wa siku, usianze na hali ya kushindwa asubuhi. Ni siku …

Maisha Yakiwa na Kona, Ni Kona za Muda Safari acha Iendelee

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku, ni jambo la kumshukuru Mungu kupata siku ya pekee tena katika macho yetu kuiona, hatujawahi kuiishi hii siku, ni fursa kwetu katika masaa 24 tunayatumia kusogea katika malengo yetu, ndoto zetu na kazi zetu. Muda ni rasimali ya pekee ikipita leo hii haitakuja tena katika uso wako, hivyo …

MAMBO 20 NILIYOJIFUNZA KUTOKA KITABU CHA MAPENZI BORA CHA MWANDISHI SHABAAN ROBERT

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku, leo na wakati wa jioni hii nikupe hongera kwa pale ulipokusudia kufanikisha lengo zuri, liendeleze. Na pale ulishindwa nafasi ya kujipanga ni sasa. Mapenzi ni neno lenye kuleta maana nyingi kwa kadri ya mtu atakavyoliona, na huenda moja kwa moja kumfikirisha mtu kwa habari ya mapenzi yazalishayo familia …

Maisha ni Mbio Ndefu, Vaa Ujasiri Kila Siku

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku, ni jambo la kumshukuru Mungu kuona siku mpya na kupata pumzi ya kuendelea kufanya yakutusogeza kiroho, kijamii, kiuchumi, kiuongozi na kielimu pia. Muda ni rasimali adimu haiuzwi popote pale ni nidhamu tu inayosaidia kuutumia vizuri ili kujiboresha kila siku. Hivyo muda ni wa thamani kubwa sana, kuupoteza ni …

Nusu ya Mwaka Imeisha, Umefikia wapi ?

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku, kwanza shukrani kwa Mungu kupata nafasi nyingine ya pumzi na nguvu kuzitumia kwa ajili ya leo siku ya kwanza ya Mwezi Julai, hongera kufika mwezi huu na juhudi yako katika kusoma na kujifunza. Nikukumbushe muda ni rasimali adimu ya kuhitaji kuipa heshima na kuitunza na kufanya yale yakutusogeza …

Design a site like this with WordPress.com
Get started