141: Beba Kauli Moja Unapoingia Mwezi wa Tisa Ili uwe wa Kitofauti Kwako

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku, nikupongeze kwa jitihada na juhudi zako kila siku za kujifunza hata kama sio hapa,.kwingineko ikiwa wapata maarifa na ukayatendea kazi basi kwangu ni furaha kuona unapiga hatua zaidi. Ashukuriwe Muumba aliyetupa mwezi wa nane na leo ni tarehe ya mwisho wa mwezi huu. Huu ni wakati pekee wa …

140: Mfalme Sanje- Pata Elimu Ila Uwe Na Maarifa

Habari na Uhali gani ?mfuatiliaji wa Blogu hii Figa la ushairi. Pole na Majukumu, Bila shaka ulikua katika Uwanja wa Majukumu yako leo, yote ni katika kutafuta kuendelea Kupiga Hatua, Ashukuriwe Rabuka atupaye Pumzi na afya kwa ajili ya kuendelea siku nyingine. Kama ulikwama ni wasaa wa tafakari wapi tatizo, kisha rekebisha uendelee na Safari, …

139: Unapoelekea Robo Ya Mwaka ilobakia Jikumbushe Ulisema nini Mwaka Huu ?

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku, ni jambo la kumshukuru Mungu kupata nafasi ya uzima na uhai katika miili yetu. Na nafasi ya Muda ndio Maisha yetu pia kuwa tupate fursa ya kujitathimini na kujipanga upya na kujiendeleza pale tuliposhindwa. Mwaka unaenda katika robo tatu yake bila shaka kuna mengi sana umejifunza katika safari …

138: MAMBO 28 NILIYOJIFUNZA SIKU 28 ZA MWEZI AGOSTI

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku, ni wakati wa pekee tena kuwa na pumzi na afya kwa ajili ya kuendelea na kujituma na kujiboresha. Safari ya kujifunza bado inaendelea kila siku maana kila siku inaleta mambo tofauti na matazamio yetu licha kujipanga kwako, bado maisha yanaweza kukupa usichokitaraji kukipata. Jifunze tu kuwa tayari kwa …

137: Vitu Vidogo Vidogo Huwa Havituachi Salama, Jiangalie Utaona

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku, sina shaka kuwa ulikua na wakati mzuri wa wikendi yako namna uliitumia kuanzia jumamosi nayo jumapili. Nikupongeze sana kwa kila hatua unayotoa muda wako kujifunza kupitia uwanja huu wa maandishi. Tunayo sababu ya kuendelea kumshukuru Mungu kwa pumzi na Uzima, Muda ni rasimali ya usawa jitahidi uitumie vizuri …

136: MFALME SANJE- UTENZI KIZAZI CHA UBUYU

Ubuyu kama tunda na Ubuyu unaopendwa, Ila huenda limeota kidonda. Karibu Katika Utenzi wa Mfalme Sanje na Ubuyu wake Mkononi usopatikana Sokoni swali upo wapi ? Karibu katika utenzi tufichue Ubuyu gani alonao Mfalme Sanje Aaaah ni kicheko cha huzuni Ingawa furaha usoni Ni cheko la kwikwi kooni Ingawa tatizo silioni Aah kizazi cha Ubuyu, …

135: MFALME SANJE – KIJANA KWA HAYA UTASIMULIWA TU

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila, bila shaka siku yako ilikua njema sana, na kama bado kuna mambo unayafikiri kesho kesho hutaifika, anza sasa kufanya. Ikiwa bado una pumzi na nguvu hakikisha unapata muda wa kujikagua na kuweka mambo sawa ili uzidi kupiga hatua. Karibu nikushirikishe kunga za Mfalme Sanje, katika kuishi kwake na kuona …

134: Muda Unatupa Nafasi ya Kujiongeza

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku, bila shaka siku yako imeenda vizuri katika mipangilio yako ulokua umepanga asubuhi, kama umefanikiwa basi unastahili kupongezwa maana tupo katika wakati wa muda wetu kuporwa kwa mambo mengi sana ukianza na simu tu hapo ni tatizo katika wakati huu. Yote ya yote Pumzi ndio jambo la kumshukuru Mungu …

133: Kauli Ya Bado Muda

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku, bila shaka siku yako ilienda vizuri na kama uliweka juhudi basi sina shaka kuna hatua leo umepiga kuelekea ndoto yako. Na kama ulishindwa kabisa kufanikisha basi jipe tafakari wapi tatizo?, ili fursa ikipatikana ya pumzi urekebishe na kufanya kwa ubora sana, Mshukuru Mungu kwa pumzi na afya pia …

132: LIJUE NAMNA YA KULILA PISHI USIICHOKE SAFARI

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku, kwanza ya yote pole na majukumu yako na hongera sana pale ulipoweza, leo ni tarehe ya pekee katika historia 22/08/2017 kuwa pishi katika figa la ushairi lipo tayari na waweza kuanza kula, namshukuru sana Mungu kwa nafasi ya uzima na pia nikushukuru sana kwa uvumilivu wako mkuu kwa …

Design a site like this with WordPress.com
Get started