Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku, bila shaka siku yako imeisha kwa kujifunza au kuanza kitu fulani, ila kama ilipita tu bure, unayo nafasi sasa ya kuthamini muda wa leo kujipa tathimini zaidi, Muda ni Maisha, kadri tusivyoupa nafasi na kuupuza ndivyo tunaendelea kumega sehemu ya Maisha yetu, karibu nikushirikishe ili uzidi kuwa bora …
Monthly Archives: August 2017
130: MAMBO 26 NDANI YA SHAIRI SIKU YA KUMBUKUMBU YANGU YA KUZALIWA
Ni Furaha Kubwa sana Siku hii Miaka kadhaa ilopita, Nakushukuru Mungu Wangu kwa Pumzi Mpaka leo sichukulii kawaida kuwa hai, Asante Wazazi wangu kwa Upendo wenu na Malezi yenu, na Upendo huu mwingine ni kwa wote mpaka nimefika hapa, namshukuru Mungu, kuwa na pumzi ni neema ya Rabuka, karibu tukumbuke na kufurahia siku ya leo …
Continue reading “130: MAMBO 26 NDANI YA SHAIRI SIKU YA KUMBUKUMBU YANGU YA KUZALIWA”
130: MAMBO 26 NDANI YA SHAIRI SIKU YA KUMBUKUMBU YANGU YA KUZALIWA
Ni Furaha Kubwa sana Siku hii Miaka kadhaa ilopita, Nakushukuru Mungu Wangu kwa Pumzi Mpaka leo sichukulii kawaida kuwa hai, Asante Wazazi wangu kwa Upendo wenu na Malezi yenu, na Upendo huu mwingine ni kwa wote mpaka nimefika hapa, namshukuru Mungu, kuwa na pumzi ni neema ya Rabuka, karibu tukumbuke na kufurahia siku ya leo …
Continue reading “130: MAMBO 26 NDANI YA SHAIRI SIKU YA KUMBUKUMBU YANGU YA KUZALIWA”
129: Jioni ifikapo Jikumbushe Jambo hili
Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku, pole na hongera na majukumu yako ya uwajibikaji kila siku, huenda kuna mengi sana umekumbana nayo leo huenda yaweza kuwa ni sawa na matarajio yako au yakawa yameenda ndivyo sivyo, ila hakuna jambo jema kama kupata nafasi tena ya Pumzi kwa kuwa unaweza kufanya kitu cha tofauti, karibu …
128: Usisahau Kuwa wewe ndie wa Kuwajibika
Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku, nimekuwa najifunza kila siku kuwa muda unaenda sana, jua lichomozapo hadi kuzama najifunza mambo mengi na kubaki na mtihani mkubwa sana kuwa lini nitafanikisha? Malengo yangu, lini nitazidi kusogea hatua. Huenda nawe una maswali kama yangu kuwa lini lifanikisha. Lakini katika yote haya hakuna mtu kwa siri anazidishiwa …
Continue reading “128: Usisahau Kuwa wewe ndie wa Kuwajibika”
127: Umahiri wa Mwandishi Ben R. Mtobwa Kitabu Zawadi ya Ushindi
Habari mfuatiliaji wa Blogu hii, hakika naamini siku kama ya leo ilikua njema kwako, na hata kama ilizaa yaletayo shida, huzuni na mateso. Kama uhai haujaguswa bado upo ni nafasi ya kipekee sana ya kumshukuru Mungu.kwa kuwa una uwezo wa kufanya maboresho na kuishi kile umepewa muda kukiishi endelea kujituma na kukifikiri kila siku, karibu …
Continue reading “127: Umahiri wa Mwandishi Ben R. Mtobwa Kitabu Zawadi ya Ushindi”
126: JUU YA ARDHI YA AFRIKA
Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku, leo tunapoendelea na tafakari ushairi huu kuhusu Afrika niliutunga kutazama hali ya Afrika na wakati ujao, Karibu ulisome na hata ukiliweza kughani pia Huenda kufarijika, kwa uzuri wa ramani Kilio changu Afrika, Machozi yapo Machoni U wapi? We Afrika, lobakia mdomoni Tumekusoma shuleni,Ajabu hujaitika Iko haja gani?, ubakie …
125:Kila Kitu Utaweza Kukipata Ukiwa Tayari Kukilipia Gharama
Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila, huenda siku yako ilikua njema sana na una ushahidi wa wazi kabisa kama umefanikiwa au umekwama katika ulotegemea leo kuyafanikisha. Ila jambo la kumshukuru Mungu kuwa Muda pekee ndio tabibu wa kuyatibu Mambo mengi katika maisha yetu. Endelea Kujipa tathimini ya Maisha kuwa wewe ndio mwajibikaji wa kwanza kufanikisha …
Continue reading “125:Kila Kitu Utaweza Kukipata Ukiwa Tayari Kukilipia Gharama”
124: MAMBO 25 NILIYOJIFUNZA KITABU CHA MASHAIRI YA SAADANI Mwandishi Saadani Abdu Kandoro
Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku, imekua ni jioni njema tena ya mwisho wa wiki hii, ili kupisha wiki mpya ianze. Ni mengi umejifunza bila shaka kwa wiki yako nzima na hata leo ifikapo kuna mengi umejipanga kwa ajili ya kukamilisha na kujiboresha kwa wiki inayoanza, karibu nikukaribishe kwa kitabu cha 7 wiki hii. …
123: MAMBO 25 NILIYOJIFUNZA KITABU CRUNCH POINT By Brian Tracy
Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku, Bila shaka u mzima wa afya, Na Kuendelea kujifunza ni sehemu ya Maisha ya mtu anayependa kupiga hatua kila siku. Muda ndio rasimali pekee tunayopata nafasi ya kuwa na usawa wa masaa 24 kwa siku. Kutumia na kuheshimu ndipo panapoleta utofauti, Karibu tuendelee kushirikishana Maamuzi sahihi ya kufanya …
Continue reading “123: MAMBO 25 NILIYOJIFUNZA KITABU CRUNCH POINT By Brian Tracy”