112: Anza Mwezi wa Nane na Picha ya Kumaliza Kwa Kufanikisha Malengo ya Mwezi

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku. Ni jambo la kumshukuru sana Mungu kwa pumzi na nguvu tena kufika mwezi mpya wa nane, ni mwezi wa mpya na tarehe mosi ya mwezi huu. Hongera sana kwa kuendelea na safari ya malengo, kazi, jukumu au ndoto yako. Kama ilivyokua mwezi ulopita ulianza na ukaisha vivyo nao …

Design a site like this with WordPress.com
Get started