169: Leo Septemba 30 na Uchambuzi wa Shairi Nilokua Nimeandika Tarehe 1/9. Kuna Nguvu Katika Kuandika

Habari mfuatiliaji wa blogu hii ya Figa la Ushairi. Ni nafasi ya Pekee sana ya Pumzi Mungu katupatia kutumia vizuri na kuthamini Muda tulopewa wa kuwepo. Nikushukuru wewe msomaji kwa kuendelea kujifunza na kusoma na kuchukua hatua kila siku. Leo ikiwa ni mwisho wa mwezi wa tisa na kuelekea mwezi wa 10, niliandika Shairi hapo …

168: UCHAMBUZI: Mambo 25 Niliyojifunza Kitabu CHANGE YOUR THINKING, CHANGE YOUR LIFE ( Badili Unavyofikiri, Ubadili Maisha Yako )

Habari ya siku nyingine tena. Leo ni siku ya pekee sana, nafasi ya uzima na afya ni jambo la kumshukuru sana Mungu. Karibu katika uchambuzi wa Kitabu hiki cha Mwandishi Mkongwe na mbobezi katika eneo la kujiboresha na kutengeneza tabia nzuri za kuishi Maisha bora na ya Kupiga Hatua na huyu si Mwingine ni Brian …

167: Baadaye huwa si tena Baadaye

Habari mfuatiliaji na msomaji wa blogu hii kila siku. Leo ni siku ya pekee sana na ni nafasi kwetu kwenda kufanya yaliyo muhimu na kuzidi kujiboresha kila inapoitwa leo. Muda tulonao leo ni nafasi pia ya kuutunza katika kufanya katika yale ya kutusaidia kupiga hatua kila siku. Karibu nikushirikishe jambo litakalokusaidia kuwa bora zaidi. Neno …

166: Anza Matengenezo Na Ratiba Zako za Kila Siku

Habari mfuatiliaji wa blogu ya figa la ushairi kila siku. Leo ni siku ya pekee kama ulivyo ukurasa mpya kabisa usoandikwa chochote unaosubiri mwandikaji ashushe wino wake na kuandika kitu. Nafasi hii ya leo ya kuwa na nafasi ya pumzi ni jambo la kumshukuru sana Mungu, kwenda kuutumia Muda vizuri ni njia pekee ya kuheshimu …

165: Muda tulionao Ni Mchache Kuliko Wingi wa Mipango yetu

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku, bila shaka ni siku ya pekee sana kuendelea na majukumu kwa kuhesabu kuwa kila siku ni kama tofali la ujenzi wa nyumba ya mafanikio yako kwa mapana yake. Mshukuru Mungu kwa nafasi ya pumzi na afya alokujalia ili upate nafasi ya kuendelea na kujiboresha kila siku. Karibu nikushirikishe …

164: Mambo 25 Niliyojifunza Siku 25 Za Mwezi Wa Tisa

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku. Kila siku ni ya pekee sana kuendelea na majukumu ya kila siku. Safari ya kuendelea na kujifunza ni ya muhimu sana kwa ajili ya kupiga hatua. Mwezi wa tisa ulianza na sasa unaelekea katika mwisho wake. Nakukaribisha katika Mambo 25 niliyojifunza mwezi huu ambayo yataendelea kutufanya kuwa bora …

163: Maisha ni Kuwajibika Kwako Kila Siku

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku. Leo ni siku ya pekee sana kutumia nafasi hii kwa thamani zaidi. Leo ipo kwa muda tu hivyo ni jukumu lako kubwa sana kutunza kila lisaa lako. Lisaa lako ndilo linalojenga masaa na hata siku. Nafasi ya pumzi na afya ni kumshukuru Sana Mungu na itendee haki kwa …

162: Hili ndilo Jambo Moja Tunalosahau Katika Safari ya Mafanikio

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku. Leo ni siku ya pekee sana machoni petu kuwa na pumzi na afya tena, na hata kama hali yako haiko sawa na pumzi bado ipo nikushukuru Mungu kuwa katika muda tatizo lako litaisha. Safari ya kuendelea kujifunza si ya kuikinai hata kidogo au kuipuuza. Kujifunza kunamlipa mtu zaidi …

161: USHAIRI – NYERERE

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku, bila shaka kila inapoitwa leo ni nafasi ya pekee sana ya kufanya jambo kwa siku husika. Karibu katika ushairi huu ulioandaliwa na mshairi chipukizi juu ya Mwasisi Baba Wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere, Karibu Kusoma na Kughani shairi hili katika mikono ya Malenga Jane uwanjani Umetutoka zamani, Tunakuhitaji …

160: Nyumba Ya Mafanikio

Ngonjera- Nyumba ya Mafanikio Kama zilivyokua nyumba za bati na nyasi hazikukosa kuwa na misingi ili zipate kusimama imara. Na kama nyumba yoyote pia ndani huwa hapakosi mazungumzo hata kama ni kimya kimya mwonekano nao utazungumza. JUHUDI Najipenda sana kweli, Si rafiki wa uvivu Napenda fwata kauli, sifanyi kichovu chovu Nawapeleka na mbali, wakaishi kitulivu …

Design a site like this with WordPress.com
Get started