149: Zijue Sababu 3 Kwanini? Upate Muda Wa Faragha Katika Maisha Yako

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku. Kuona siku nyingine ni nafasi ya pekee sana kumshukuru Mungu kwa kuheshimu muda ulopata na nguvu na pumzi katika kujiboresha na kujiendeleza kila siku. Safari hii ya kujiboresha haijaisha bado inaendelea kila siku pasipo kukoma. Muda ndio rasimali muhimu sana ikienda huwa hairudi tena, itunze sana itakutofautisha na …

148: Tabasamu La Mtoto

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku. Bila shaka umekua unaendelea na mapambano kwa kujifunza na kutumia muda na nafasi ya pumzi kuishi kile umepewa uishi. Safari ya kujifunza si ya hasara bali ina faida nyingi sana moja wapo ni kukusogeza katika ndoto zako kila siku. Karibu nikushirikishe utenzi kuna kitu utajifunza. Maisha ni safari …

147: Kila Siku Mambo Hubadilika, Uwe Tayari kwa Mabadiliko

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku bila shaka siku yako bado mbichi kabisa kuwa na nafasi ya kuendelea na zoezi la kujifunza na kujiboresha. Kupata fursa ya uzima na afya ni jambo la kumshukuru Mungu. Kutumia muda wako vyema ndio heshima pekee ya nafasi hii ya pumzi na nguvu. Karibu nikushirikishe utakayoyafanyia kazi ili …

146: Ndio Nyingi zimeleta Mzozo, Jifunze Somo Gumu la Hapana

Salamu na Pole na Majukumu ya Kutwa nzima. Siku ilianza na sasa ni jioni giza la anga limekua la kutufanya wote kuwa sawa. Huenda Uliyopanga asubuhi sio ulotaraji jioni, na huenda pia siku yako umefanikisha baadhi au kwa kiwango ulotegemea kufanya. Ikiwa unayo pumzi na afya ni jambo la kumshukuru Sana Mungu kuwa nafasi ipo …

145: Akili ya Mazoea Hupunguza Thamani ya Mambo au Vitu, Jipime

Habari mfuatiliaji wa blogu kila siku. Ni muhimu sana kuwa na moyo wenye wingi wa shukrani kwa Mungu kwa nafasi ya pumzi, na afya. Na hata kama haupo sawa kiafya u mzima bado ni jambo la kumshukuru Sana Mungu. Pole na Majukumu yako na hongera Pale ulipoweza kufanya. Wakati wa jioni ni mzuri sana kwa …

144: Uchambuzi Kitabu, UONGOZI WETU NA HATMA YA TANZANIA na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku, Bila shaka siku yako imekua njema sana na inaelekea kwisha ili kuitazama wiki nyingine tena. Pumzi ndio zawadi yetu kwa kuheshimu na kumshukuru Mungu kwa kuwa na matumizi bora ya Muda wetu, karibu katika uchambuzi wa kitabu cha Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kuhusu uongozi na hatma ya …

143: Mende Ni Fursa Aliyoiona Ndugu Diplomat. Ndio Mende wa Nyumbani

Habari mfuatiliaji wa blogu hii, naamini mwezi huu ni kuchukua hatua tu. Ni siku ya pekee sana kuwa na pumzi na afya kwa kuiona siku ya pili ya mwezi huu wa tisa, mshukuru Mungu kwa nafasi hii ya pekee kabisa. Ni wakati wa kuyaendea majukumu na kutenda kitu usikubali siku iishe tu. Jiwekee mtazamo wa …

142: Shairi la Mwezi wa Tisa na Dua Ya Malenga

Habari mfuatiliaji wa blogu hii, karibu katika kujifunza katika shairi hili kwa ajili ya mwezi uloanza na kuendelea katika siku 30 za mwezi huu ili tupige hatua zaidi. Nikutakie safari njema ya Kujifunza katika Beti hizi kuna beti zako utapata kitu. Karibu na kila la heri msomaji wangu 1. Nakushukuru Rabuka, Muumba wa vitu vyote …

Design a site like this with WordPress.com
Get started