188: Tafuta Maana Sahihi ya Vitu Itakusaidia

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku. Kila siku hutupa ruhusa ya kujifunza na kujiboresha, Nafasi hii ya pamoja na uzima ni ya kumshukuru Sana Mungu. Siku ianzapo na pale iishapo hutufundisha mengi sana ikiwa umekaa katika mkao wa kujifunza. Moja ni fundisho la kuwa Muda ni Ukuta, hata ingekua kazi vipi imekua njema na …

187: Jifunze Katika Ugumu

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku. Kila siku huwa ni fursa kwetu kufanya kitu na kujiboresha zaidi ya jana. Muda na Pumzi ni nafasi anayotupa Mungu kuitumia kwa uzuri na kutoacha ipotee bure pasipo kufanya jambo lolote lile. Na kuendelea kujifunza na kuchukua hatua ndio matokeo na matumizi mazuri ya kile unachojifunza kila siku, …

186: Uchambuzi wa Kitabu ~ Mambo 25 Nilojifunza Kitabu The LITTLE BOOK OF TALENT by Daniel Coyle

Habari za Siku Mpya tena katika Nafasi ya kuendelea kujiboresha katika Maisha yetu . Nafasi ya Pumzi na Muda ni ya pekee katika kumshukuru sana Mungu kupata nafasi hii, Karibu katika chambuzi za kitabu, na leo ni Kitabu cha The Little Book of Talent by Daniel Coyle. Hiki ni kitabu kinachotoa miongozo ipatayo 52 ya …

185: Unachokiona Sio wao Wakionacho

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku, Katika safari ya kujitafuta katika maisha huanza na shukrani ya Pumzi na nafasi ya Muda kutoka kwa Mungu. Kuwepo kwa nafasi hizi mbili zinakupa nafasi ya kujiboresha na kujiendeleza zaidi ya jana. Na maarifa ndio taa katika giza la maisha yetu kila siku. Karibu tushirikishane mambo yaliyo msaada …

184: Maisha ni kuwa na Shabaha

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku. Leo ni siku ya pekee sana ya tarehe 15/10/2017 hivyo tunamshukuru Mungu kwa nafasi hii ya uzima na nguvu tena. Safari ya kuendelea kujifunza ni endelevu kila siku. Siku zimekwisha kuenda sana tangu ilipokua tarehe Mosi ya Mwezi huu Oktoba, Muhimu sana kuona umefikia wapi na kuendelea kujipa …

183: KIONGOZI ALEPENDA USHAIRI ~ HAYATI MWL JULIUS K. NYERERE ( Miaka 18 ya Kumbukizi na tafakari ya Fani ya Ushairi )

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku, leo ikiwa ni siku ya tarehe 14/10/2017 ikiwa na kumbukumbu nyingi sana kwa taifa hili la tanzania. Tunamshukuru Mungu kwa nafasi hii ya pekee ya kuwa na kiongozi mahiri na Mwalimu aliyeweza kweli kufundisha mambo kwa mifano rahisi na ya kueleweka Hayati Mwalimu Julius K. Nyerere. Licha kuwa …

182: Maisha ni sawa na Zoezi la kuandika tarakimu kuanzia 1 ~ 5000 Kwa Dakika Moja

Habari mfuatiliaji wa blogu hii ya figa la ushairi kila siku. Kila siku huwa ni ya pekee sana kutenda na kuanza kuboresha yale ambayo jana ulisema ungetenda. Upekee huu unakua una maana ukihesabu kuwa nafasi ya pumzi na Muda ni ya Kumshukuru sana Mungu. Kutumia vizuri Muda kama rasimali ya ukomo huwa ni jambo zuri …

181: SHAIRI HALISIA ~ UHAI Kama Jani Mtini

Habari Mfuatiliaji wa blogu hii kila siku, Kila siku huwa na vitu na matukio yake katika maisha. Na maisha ni mkusanyiko wa visa mbalimbali. Hivyo nafasi ya kuwa mzima ni ya pekee sana kujifunza na kujiboresha zaidi ya jana. Maisha yana ukomo na hufananishwa na jani la mti lidondokalo muda wowote waweza kuwa upepo au …

180: UCHAMBUZI KITABU ~ Mambo 26 Niliyojifunza Kitabu THE ART OF CREATIVE THINKING by John Adair

Habari ya siku nyingine tena. Kila siku ni ya pekee na ikienda hatuna namna ya kurejesha imekua hivi karne kwa karne. Dunia ipo katika wakati wa taarifa na sio mwisho hapo bali uhaba wa eneo la wabunifu. Ubunifu wa kubuni mambo, vitu, huduma na bidhaa bado ni changamoto inayoikabili dunia sasa na huenda ikazidi kuendelea …

179: Kila Jambo na Wakati Wake

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku, leo ikiwa ni siku ya 10 katika mwezi huu wa 10 tunakila sababu ya kumshukuru Mungu kwa nafasi ya Pumzi na Afya. Nafasi hii itupe kuupa Muda kipaumbele kikubwa sana cha kuutunza na Kujiboresha kwa maarifa mbalimbali ya kutujenga nasi tukasogea hatua zaidi. Na njia Pekee ni kujifunza …

Design a site like this with WordPress.com
Get started