178: Mambo 5 Nilojifunza juu ya Maisha ya Mimea ( mf. Mti )

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku. Kila siku ni zawadi ya kuitumia vizuri kwa thamani katika Muda. Na katika mazingira yetu ya kila siku kuna mambo mengi ya kujifunza kupitia mazingira yetu ambayo Mungu ametujalia kuwa nayo. Karibu tujifunze mambo tunayopata kujifunza kutoka kwa mimea ( mf. Miti ) Mazingira yetu ya kawaida ya …

177: Endelea Kujituma Wiki ya 2 ya Mwezi Oktoba

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku. Ni nafasi ya pekee kuwa mzima na afya. Nafasi ya uzima na afya ni fursa ya pekee sana kutumia vizuri na si ya kupuuzia hata kidogo. Na safari ya kujifunza ni endelevu sana katika maisha haya ya msongamano wa taarifa tunazopata kila siku. Karibu nikushirikishe kitu kwa ajili …

176: UCHAMBUZI KITABU ~THE POWER OF SELF CONFIDENCE by Brian Tracy na Mambo 25 niliyojifunza ya Kuchukua Hatua.

Habari msomaji na mfuatiliaji wa chambuzi mbalimbali za vitabu katika blogu ya figa la ushairi. Leo hii ni kitabu kingine tena cha kulisha akili zetu kama tulishavyo matumbo yetu kwa milo mbalimbali. Brian Tracy ni Mwandishi mahiri sana na mstadi katika vitabu mbalimbali hasa vya kumjengea mtu msingi wa kujiboresha ndani kwanza kabla kuweka nguvu …

175: Akili ina Mdomo, Chunga Unachotafuna

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku, kila siku ni Zawadi nzuri sana ya kuitunza kwa kuheshimu muda na nafasi ya pumzi ambayo Mungu ametujalia kufika hapa ili siku ya leo tuendelee kujiboresha zaidi ya jana. Kujifunza ndio njia pekee ya kutufanya kuwa bora kila siku kwa kujifunza mambo ambayo jana tulikosea ila leo ni …

174: Ukawa Usiku Tena

Habari za Jioni mfuatiliaji wa blogu hii, nafasi ya kuiona jioni ni ya pekee kama ilivyokuona asubuhi. Nafasi ya jioni ni nzuri kwa tafakari na kuangalia siku yako ilikwendaje kwa undani zaidi. Kujifunza kila siku ni muhimu sana kwa ajili ya kujiboresha sana na kupiga hatua moja hadi nyingine. Karibu sana katika shairi hili lisemalo …

172: UCHAMBUZI ~MAMBO 20 KUJIFUNZA KITABU TEACH YOUR CHILD HOW TO THINK by Edward Debono

Habari ya siku nyingine mpya na ya 3 Katika Mwezi huu Oktoba. Nafasi ya Pumzi ni ya pekee mno kuipa heshima katika matumizi ya Muda siku ya leo. Muda huu tumia kujifunza na kujiboresha zaidi ya Jana. karibu katika Kitabu cha Mwandishi mbobezi katika Vitabu Juu ya Kufikiri kwa Kutafuta Njia nyingi zaidi ya kubaki …

170: Shairi Beti 31 Mwezi Oktoba

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku. Heri ya Mwezi Mpya Mungu katujalia nafasi ya Pekee ya Uzima na Afya kuendelea na Kutumia Nafasi ya Muda. Hili ni shairi mwanzo wa Mwezi kubeba chakufanya Mwezi Huu Oktoba, Karibu Utajifunza Kitu 1. Nikushukuru Mwenyezi, Muumba wa Vitu Vyote Uzuri wa zako kazi, Na hii miliki yote …

Design a site like this with WordPress.com
Get started