Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku. Kila siku huwa ina nafasi yake ya upekee sana, na nafasi hii ni pamoja na pumzi ambayo Mungu anatupa ya kuwekeza nguvu katika kujifunza na kujiboresha kila siku. Na muda huu pia watupa kujipa tafakari ya mambo mengi katika maisha yetu kwa uhalisia wake. Karibu tuendelee kujifunza Kila …
Monthly Archives: November 2017
219: MAMBO 31 NILIYOJIFUNZA KITABU BEFORE YOU DO ( Making Great Decisions That You Won’t Regret) Cha TD. JAKES
Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku. Karibu katika chambuzi za vitabu nafasi ya uzima ni ya pekee sana kumshukuru Mungu. Karibu tuendelee kujifunza na kuchukua hatua, Moja ya jambo ambalo kila mtu hujuta ni katika matokeo ya kufanya jambo baadaye baada ya tendo hilo au kitu hicho. Ndipo Mhubiri na Mhamasishaji maarufu Td Jakes …
218: Ukishindwa Kula Kitu Kizima Kigawe kwa Udogo udogo wake
Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku. Kila siku ni ya pekee na ina kitu fulani cha kumsaidia mtu akajiboresha na kusogea hatua zaidi ya jana. Nafasi hii ya pumzi ni ya pekee sana kutumiwa kwa uzuri kila siku mpya ifikapo na ukapata nafasi ya kuwa hai. Na muda huu uliopo ni rasimali adimu sana …
Continue reading “218: Ukishindwa Kula Kitu Kizima Kigawe kwa Udogo udogo wake”
217: Uvivu ni Tatizo Kubwa, Jikague Uone
Habari mfuatiliaji wa blogu ya figa la ushairi kila siku. Ni jambo la kumshukuru Mungu kwa ajili ya wikendi nzima na mwanzo wa wiki nyingine itaenda kuanza tena. Mzunguko huu wa wiki huenda na kurudi na hutufundisha mengi mojawapo ni nafasi ya Muda tunayopata kujiboresha au wengine hutumia pia kupoteza na kupuuza kabisa. Ila nafasi …
216: Si kosa Kujikumbusha Ulianzia wapi?
Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku. Kila siku ni ya pekee sana na ya kumshukuru Mungu kwa nafasi ya kuwa mzima na afya. Na nafasi hii ya uzima na muda si ya kupuuza au kubeza. Ni fursa pekee sana ya kujifunza na kuendelea kujiboresha kila inapoitwa leo, ni fursa ya mara moja tu ikienda …
215: Tunafungwa na Kauli zetu Katika Kufanya mambo yatokee
Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku. Kila siku ina upekee wake na kutumia nafasi ya muda kwa utulivu na maarifa sahihi ni ishara ya kuheshimu nafasi Mungu alotupatia ya uhai ndani ya mtu. Nafasi hii ni ya pekee na ya kuheshimiwa na kuwekeza katika yale yakupayo matokeo kutokana na ndoto zako na malengo yako …
Continue reading “215: Tunafungwa na Kauli zetu Katika Kufanya mambo yatokee”
214: Miaka 9 Katika Sanaa ya Ushairi na Mambo nayoendelea Kujifunza kila siku
Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku. Ni furaha kubwa sana unapojua kuna kitu katika maisha kinachokupa utoshelevu na kinachokupa sababu ya kutabasamu, basi mojawapo ni fani hii ya Ushairi. Namshukuru sana Mungu kwa nafasi ya pekee sana ya kipindi cha miaka ipatayo 9 sasa tangu mwaka 2008 nilipoanza kupendezwa na fani hii ya fahari …
Continue reading “214: Miaka 9 Katika Sanaa ya Ushairi na Mambo nayoendelea Kujifunza kila siku”
213: Mambo 5 niliyojifunza Siku ya Leo
Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku. Kila siku ni nafasi kwetu kumshukuru Mungu na kuitumia vizuri sana katika yale yakutusogeza katika hatua nyingine zaidi. Uwepo wa Uhai ndio thamani kubwa sana ya kufanya yale yaliyo muhimu na yenye kugusa maisha ya watu na yakawa bora zaidi, Karibu tuendelee kujifunza kila siku, Leo nina mambo …
212: Umoja ni Nguvu
Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku. Kila siku ni siku ya pekee ya kumshukuru Mungu kwa uzima na afya kwa wakati huu tena wa siku hii ya tarehe 14/11/2017. Ni nafasi ya kwenda kuweka juhudi na kujiboresha zaidi ya jana. Kutumia muda kwa siku ya leo ndio nafasi ya kuheshimu zawadi hii ya kuwa …
211: Ghala Za Wahenga…4
Mchumia Juani hulia Kivulini ya tarehe 13/11/2017 Habari ya siku mpya tena, ni siku ya pekee sana. Ni mfano wa karatasi safi bado kuandikwa chochote, wewe ni mwandikaji nini uandike katika ukurasa huu kwa nafasi ya leo yenye kuwepo kwa Muda. Nafasi ya pumzi ni ya pekee sana kumshukuru Mungu, na kutumia Muda wako vizuri …