210: Jikumbushe Kuandika Tarehe

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku. Kila siku ni siku ya pekee sana katika maisha yetu ya kutumia nafasi ya uzima kwa kutunza muda kwa kuwekeza katika yaliyo muhimu na yenye tija katika maisha yetu ya kila siku. Ni jambo la kumshukuru sana Mungu kwa nafasi hii ya pekee sana kujifunza, kujiboresha na kupiga …

209: Kazi ya kusukuma Kamba

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku. Kila siku ni ya pekee sana kufanya mambo makubwa na kuweka juhudi zaidi. Na nafasi ya uzima na afya ni ya pekee sana kumshukuru Mungu kwa kutunza muda hata kama ni dakika chache. Dakika chache zikitumiwa vizuri ni nyingi kwa ajili ya kuleta mabadiliko makubwa ndani ya maisha …

208: Mazungumzo Sirini….2

Ni mazungumzo yaliyokua yakiendelea sirini kati ya Mwaka 2017 na Mimi, Upendo wao ulikua mkubwa kati yao ila katika mazungumzo yao ndipo walipokua wanachambua na kuyaweka mambo bayana Mwaka 2017: Nilijitoa kwako nikakupa Masaa, Siku, Majuma, Hata Miezi ulitaka nikupe nini ?……. Mimi: Kweli ulinipa lakini…. Mambo yalinibana sana nakuona siwezi kuambatana nawe Mwaka 2017: …

203: Mambo yape Muda Huku Ukiweka Jitihada

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku. Kila siku ni ya pekee sana kwako kufanya kitu kinachokusogeza hatua moja hadi nyingine. Na nafasi ya uzima ni ya pekee sana kumshukuru Mungu, nafasi hii ni ya muhimu hasa katika kutunza muda wako kwa uzuri na ukasogea hatua moja hadi nyingine. Na safari ya kujifunza inaendelea kila …

202: Jitenge na Kelele, Tengeneza Muda Huu

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku. Kila siku ni ya pekee sana kutumiwa kwa uzuri na kumshukuru Mungu kwa nafasi ya uzima na afya. Kama afya yako haipo imara nafasi ya kuwa mzima ni jambo la kusema asante kwa Rabuka. Kila siku husogea na nyingine siku huja na mrudio huendelea hivyo licha siku huwa …

201: Kila Siku Nenda Hatua kwa Hatua

Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku. Kila siku kwako ni siku ya pekee sana huenda na hairudi nyuma zaidi ya kwenda mbele kila siku. Nafasi ya kuwa mzima na afya ndani yako ni fursa ya kumshukuru sana Mungu kwa nafasi hii, nafasi hii ni ya kutunzwa na kuwekeza muda wako katika maeneo yenye tija …

Design a site like this with WordPress.com
Get started