Hongera rafiki, nakupa hongera kwa safari hii kubwa na ndefu kwa mwaka mzima na siku zake, na masaa yake. Inatia faraja sana kumaliza mwaka na kuufikia, hata kama mambo yalikuwa magumu na kukatisha tamaa njiani. Ila kuwa mzima wa afya na kupata muda huu wa leo siku ya mwisho kwa mwaka inatia hamasa na furaha …
Continue reading “260: Kwaheri Mwaka 2017, Karibu Mwaka 2018”