Habari mfuatiliaji wa blogu hii ya Figa la Ushairi, chambuzi za vitabu na hamasa. Nikupongeze sana kwa safari ndefu ya pamoja katika kujifunza na kuchukua hatua, kama umekuwa wafuatilia blogu hii jina rafiki pia ni jina jema sana kwa ukarimu wako na kujitoa kwako. Naamini kuna hatua kubwa sana umepiga kwa mwaka huu. Yote haya …
Monthly Archives: December 2017
249: Hii ndio Zawadi Kwako Mwaka 2018
Habari mfuatiliaji wa blogu hii ya figa la ushairi, chambuzi za vitabu na hamasa. Hakika imekuwa safari ndefu sana toka siku zipatazo 200 toka ianze blogu hii, tunamshukuru sana Mungu kwa nafasi ya kipekee mno kuweza kutupa uzima na afya mpaka kufika leo. Thamani hii ya Uhai na Muda ni ya kipekee sana, karibu ujue …
248: Shairi ~ Ukaribu Hujengwa
Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku. Kila siku ni zawadi kubwa sana ya kutumia kwa uzuri kabisa katika kujiboresha na kumshukuru sana Mungu kwa upendeleo wa muda na uhai. Safari ya kujifunza iendelee kila siku pasipo kuchoka ili uzidi kuwa bora siku hadi siku. Kila kitu hujengwa kuanzia katika udogo wake na kufika hatua …
247: Jifunze Kujikosoa na kuwa tayari kupiga Hatua
Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku. Kila siku huwa ina upekee wake hivyo unapokosa kuitumia vizuri kuna mambo unayakosa na huwa yanapita kwa siku hiyo. Tuna nafasi ya kuendelea kumshukuru sana Mungu kipindi hiki mwishoni mwa mwaka unapoenda kuishia, Tumia muda na nafasi hii ya uzima kuendelea kujiboresha zaidi kila siku, karibu tuendelee kujifunza …
Continue reading “247: Jifunze Kujikosoa na kuwa tayari kupiga Hatua”
246: Jitahidi Kujiboresha Kila Siku
Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku. Kila siku ni zawadi ya kutupa kujifunza na kuishi lile kusudi la sisi kuwa hapa katika siku hizi na pumzi ndani yetu. Endelea kuthamini na kushukuru Mungu kwa nafasi ya uzima na zawadi ya Muda kila siku. Karibu leo siku ya 17 ya mwezi wa 12/2017. Imekuwa kawaida …
245: Mwezi huu wa 12 Jipe Mahesabu ya Mwaka
Habari mfuatiliaji wa blogu hii ya figa la ushairi kwa kuendelea kufuatilia kila siku, kutoka chambuzi za vitabu, kazi za ushairi na maandishi ya hamasa ya kupiga hatua zaidi. Nafasi ya kufika mwezi huu wa 12 ni jambo la kumshukuru Mungu kwa uzima na rasimali ya muda. Karibu tujifunze na kujikumbusha ili tuwe bora kila …
Continue reading “245: Mwezi huu wa 12 Jipe Mahesabu ya Mwaka”
244: KITABU ~ You Are Born an Original Do not Die a Copy by John Mason Kurasa Jumla: 174 tafsiri iso rasmi (Ulizaliwa Orijino Usife Kama Kopi)
Kurasa chambuzi: 161 ~ 174 Habari mfuatiliaji wa tafakari na chambuzi za vitabu kurasa kwa kurasa leo tarehe 15/12/2017 ndio mwisho wa uchambuzi wa kitabu hichi. Kazi itakayobakia kwako na kwangu ni kuchukua hatua ili tupate matokeo makubwa siku hadi siku. Tumshukuru Muumba kwa nafasi hii ya Uzima na Muda anayotupa yenye ukomo siku moja. …
243: KITABU ~ You Are Born an Original Do not Die a Copy by John Mason Kurasa Jumla: 174 tafsiri iso rasmi (Ulizaliwa Orijino Usife Kama Kopi)
Kurasa chambuzi: 142 ~ 160 Habari mfuatiliaji wa tafakari na chambuzi za vitabu kurasa kwa kurasa leo tarehe 14/12/2017 ili kuendelea kujifunza na kuchukua hatuya ili maisha yetu yazidi kuwa bora kila siku. Nafasi hii ya Uzima na Muda ni ya kumshukuru Rabuka aliyetupa leo kufika. Kuna nguvu ndani yetu aloweka Muumba kupitia miito na …
242: KITABU ~You Are Born an Original Do not Die a Copy by John Mason Kurasa Jumla: 174 tafsiri iso rasmi (Ulizaliwa Orijino Usife Kama Kopi)
Kurasa chambuzi: 124 ~ 141 Habari mfuatiliaji wa tafakari na chambuzi za vitabu kurasa kwa kurasa leo tarehe 13/12/2017 ili kuendelea kujifunza na kuchukua hatuya ili maisha yetu yazidi kuwa bora kila siku. Nafasi hii ya Uzima na Muda ni ya kumshukuru Rabuka aliyetupa leo kufika. Kama ni mkulima basi afuataye kipindi au msimu wake …
241: KITABU~You Are Born an Original Do not Die a Copy by John Mason Kurasa Jumla: 174 tafsiri iso rasmi (Ulizaliwa Orijino Usife Kama Kopi)
Kurasa chambuzi: 71 ~ 100 Habari mfuatiliaji wa tafakari na chambuzi za vitabu kurasa kwa kurasa leo tarehe 11/12/2017 ili kuendelea kujifunza na kuchukua hatuya ili maisha yetu yazidi kuwa bora kila siku. Nafasi hii ya Uzima na Muda ni ya kumshukuru Rabuka aliyetupa leo kufika. Usikubali mtu mwingine akutabirie na kuharibu msimamo sahihi katika …