Kurasa chambuzi: 51 ~ 70 Habari mfuatiliaji wa tafakari na chambuzi za vitabu kurasa kwa kurasa leo tarehe 10/12/2017 ili kuendelea kujifunza na kuchukua hatuya ili maisha yetu yazidi kuwa bora kila siku. Nafasi hii ya Uzima na Muda ni ya kumshukuru Rabuka aliyetupa leo kufika. Wakati mzuri na muhimu sana katika maisha ni SASA. …
Monthly Archives: December 2017
239: KITABU ~ You Are Born an Original Do not Die a Copy by John Mason Kurasa Jumla: 174 tafsiri iso rasmi (Ulizaliwa Orijino Usife Kama Kopi)
Kurasa chambuzi: 30 ~ 50 Habari mfuatiliaji wa chambuzi za vitabu kurasa kwa kurasa ili kuendelea kujifunza na kuchukua hatuya ili maisha yetu yazidi kuwa bora kila siku. Nafasi hii ya Uzima na Muda ni ya kumshukuru Rabuka aliyetupa leo kufika. Usipoteze muda wako katika kuishi maisha yasiyo na maana. Ni hatari kuishi kiholela na …
238:KITABU ~You Are Born an Original Do not Die a Copy by John Mason Kurasa Jumla: 174 tafsiri iso rasmi (Ulizaliwa Orijino Usife Kama Kopi
Kurasa chambuzi: 17 ~ 29 Habari mfuatiliaji wa chambuzi za vitabu kurasa kwa kurasa ili kuendelea kujifunza na kuchukua hatuya ili maisha yetu yazidi kuwa bora kila siku. Nafasi hii ya Uzima na Muda ni ya kumshukuru Rabuka aliyetupa leo kufika. Jason Mason ni mwandishi wa vitabu vingi pamoja na IMPOSSIBLE IS POSSIBLE na IMITATION …
237: Ushairi Ni Bahari
Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku. Nafasi ya uzima ni ya pekee sana kila siku kwa kumshukuru Mungu kwa nafasi hii ya kipekee mno. Safari ya kujifunza inaendelea kila siku pasipo kuchoka, karibu katika kujifunza juu ya ushairi kama bahari. Ukubwa na kina chake ujue kwenda kuzama na kuibuka. 1. Nani liye mjuaji, azamie …
236: Vitabu ni Nyenzo Kurahisisha Kazi
Habari mfuatiliaji wa blogu hii kila siku. Leo ikiwa ni siku ya 6 mwezi wa 12. Tunakila sababu ya kuendelea kumshukuru Rabuka kwa pumzi na nguvu ya kuendelea kujifunza kila siku pasipo kuchoka. Kujifunza ni njia bora sana ya kupiga hatua kubwa sana, kuwekeza katika maarifa sahihi si kupoteza muda bali ni kulinda muda na …
235: KITABU ~TALENT POWER ( Unleash Your Talent. Manifest Your Greatness ) na Mwandishi Praise George
KURASA 1 – 63 Habari mfuatiliaji na rafiki wa chambuzi za vitabu. Leo ikiwa ni siku ya 5 ya Mwezi wa Kumi na Mbili. Ni jambo la kumshukuru sana Mungu kwa uzima na afya, karibu katika kitabu hiki tujifunze na kisha tuchukue hatua. Uwezo uliopo ndani ya mtu ndio moja ya njia ya kufika uwezo …
234: KITABU ~The 12 TRAITS of THE GREATS na Dr. Dave Martin
Sura ~ GENEROSITY ( Blessed to be Blessed ) Kurasa 241 ~ 272 Habari ya Siku mpya, siku ya 4 ya mwezi wa 12. Ni jambo la kumshukuru Mungu kuwa na nafasi ya uhai na Muda tena kwa ajili ya kuendelea kujiboresha. Na leo ndio siku ya mwisho katika mfululizo wa sifa au tabia 12 …
Continue reading “234: KITABU ~The 12 TRAITS of THE GREATS na Dr. Dave Martin”
233: KITABU ~The 12 TRAITS of THE GREATS na Dr. Dave Martin,
Sura ~ WISDOM ( Under it All ) Kurasa 225 ~ 240 Habari ya Mwezi wa 12 Siku ya 3. Ni Jambo la kumshukuru Mungu kwa nafasi ya uzima na afya tena. Karibu tena mfuatiliaji wa sura hizi za kitabu bora cha mwongozo wa tabia au sifa 12 za watu wakuu kikiwa na Jumla ya …
Continue reading “233: KITABU ~The 12 TRAITS of THE GREATS na Dr. Dave Martin,”
232: KITABU~The 12 TRAITS of THE GREATS na Dr. Dave Martin,
Sura ~ ADAPTABILITY ( Change or be Changed ) Kurasa 209 ~ 224 Habari ya Mwezi wa 12 Siku ya 2? . Ni Jambo la kumshukuru Mungu kwa nafasi ya uzima na afya tena. Karibu tena mfuatiliaji wa sura hizi za kitabu bora cha mwongozo wa tabia au sifa 12 za watu wakuu kikiwa na …
Continue reading “232: KITABU~The 12 TRAITS of THE GREATS na Dr. Dave Martin,”
231: KITABU ~The 12 TRAITS of THE GREATS na Dr. Dave Martin
Sura ~ INTERGRITY ( Guarding who you are inside ) Kurasa 191 ~ 208 Habari ya Mwezi Mpya? . Ni Jambo la kumshukuru Mungu kwa nafasi ya uzima na afya tena. Karibu tena mfuatiliaji wa sura hizi za kitabu bora cha mwongozo wa tabia au sifa 12 za watu wakuu kikiwa na Jumla ya Sura …
Continue reading “231: KITABU ~The 12 TRAITS of THE GREATS na Dr. Dave Martin”