288; Kimjazacho Ndo Kimtokacho

Habari Rafiki, na mfuatiliaji wa blogu hii kila siku katika chambuzi na hamasa za kuchukua hatua kila siku. Kila siku ni zawadi kubwa sana ambayo Mungu katujalia kuwa na muda na afya ili tuendelee kujipatia Nafasi ya kujiboresha na kujiwekeza na kuwa watu bora kila siku. Kuendelea kujifunza na kujiboresha kila siku ndio njia ya …

287; Faida ya Kuanzia Chini Katika Biashara zako Ndogo Ndogo

Habari Rafiki, Safari ya kujifunza haiwezi kuisha ikiwa unataka kuwa bora kwanza katika mabadiliko ya ndani kisha ndipo yaje mabadiliko ya nje. Nafasi inayopatikana ya muda na kuwa u mzima ni jambo la kumshukuru Mungu sana, na kujiboresha na kujiwekeza zaidi wewe katika Kupiga hatua ni jambo lenye faida kubwa sana si kwako pekee, hata …

286; Boresha Maeneo Machache Ili Kuwa Bora Maeneo Mengine

Habari Rafiki, Nikupongeze sana kwa maamuzi sahihi unayoyafanya ya kuendelea kujifunza kila siku na kuwa na shauku ya kuwa mtu bora kila siku. Unajipa Ushindi mkubwa sana Siku zijazo kwa namna unawekeza katika maarifa na kuchukua hatua kila siku kusoma hapa na kutendea kazi. Naamini hatua zako zinaimarika sana siku hadi siku mpaka pale unapata …

285; Tafakari Mambo 28 ya Siku 28 za Mwezi Januari

Hongera sana Kwako Rafiki uliyeanza hatua hata Hatua toka ilipokuwa imeanza Januari hii katika safari ya kujifunza na kutenda. Kwanza ni jambo la kumshukuru sana Mungu kwa nafasi ya kuwa hai na kuwa na Muda wa kujiboresha na kujiwekeza kila siku kwa njia ya maarifa na huku ukiishi maarifa hayo na kujipatia matokeo bora. Mwezi …

284; Kwanini Ubadili Kufikiri na Kuongea Kwako Ili uweze Kupiga Hatua

Habari Rafiki na Mfuatiliaji wa Blogu hii Kila Siku, katika chambuzi za Vitabu na hamasa za kuchukua hatua kila siku. Kila siku ni zawadi ambayo Mungu hutupatia katika kuitumia na kuwa watu bora zaidi ya Jana zetu. Karibu tuendelee na safari ya kujifunza kila siku za maisha yetu. Bila shaka eneo la Fikra ndio eneo …

283; Tengeneza Mfumo huu Ili Kukuza Soko lako

Habari ya Siku Rafiki. Nimekuwekea huu uchambuzi eneo la wewe kuendelea kuimarisha kila siku katika kukuza soko lako kwa wateja wako. Maarifa ni muhimu sana katika kufanya mambo kwa ubora. Na huu ndio muda wa wewe kufanya kwa ubora na kupiga hatua kubwa. Karibu tuongeze Maarifa kuboresha namna ya kufanya kazi zetu. 1. Jua Soko …

282; Anzia Chini Kuza Mizizi

Siku ya 25 kwa Mwaka huu 2018 Habari Rafiki, Karibu katika Tafakari ya Utenzi huu upate kitu cha kufanyia kazi na maisha yako yawe na matokeo bora sana. Nafasi hii ya Muda na Afya ni ya kipekee sana kumshukuru Mungu. Tuzitumie kuwa watu bora na kugusa maisha ya watu wengine wengi, Karibu tule pamoja pishi …

281; Mwezi Januari Unapoishia Imarisha Jambo hili kwa ajili ya Mwezi Februari

Habari Rafiki, Muda sio rafiki unaponyoka kila siku na unaenda. Hakuna namna nyingine ya kurudisha muda ulopotea. Si kipindi kirefu sana ambacho Mwaka huu ulikuwa umeanza na sasa mwezi unaenda kwishia ili kupisha mwezi wa pili uweze kuingia. Kama kuna hatua hukuchukua basi mwezi Januari ushakuacha na unaenda ukingoni. Ikiwa bado u nafasi ya afya …

280; Huu Muda Jitahidi Ubakize katika Muda unaotumia Masaa 24 kwa Siku

Habari Rafiki, Zawadi Mojawapo katika zawadi tunayotakiwa kuendelea kumshukuru Mungu kila siku ni zawadi ya MUDA. Muda ni nafasi inayojitokeza kila siku itumike katika hikima kubwa sana, ila cha kusikitisha sana ni katika ya rasimali zinazopotezwa sana na watu isivyo kawaida. Watu wanapoteza katika kujishughulisha na mambo yasiyochangia chochote katika safari za Maisha yao, wanapotezea …

279;Ongeza Ufahamu Katika Hili Eneo Moja Muhimu La Fedha ilikojificha

Habari Rafiki, Kila siku ni siku ya kipekee mno ya kuendelea kumshukuru Mungu kwa mambo makubwa mawili Muda na Kuwa hai. Karibu tuendelee Kujifunza zaidi kuhusu maisha na yaliyomo, basi Katika yaliyomo neno fedha si geni hata kwa mtoto. Wote hujua fedha ni za muhimu sana katika nyanja za kimaisha katika kuhakikisha kuwa mahitaji yanapatikana …

Design a site like this with WordPress.com
Get started