Habari msomaji na Rafiki katika kujifunza kila siku kupitia blogu hii ya figa la ushairi, chambuzi za vitabu na hamasa za kuchukua hatua kila siku. Hii ni nafasi ya kipekee sana Mungu kutupa nafasi ya uzima na afya. Na pia ni wakati mzuri sana kwa mwezi wa kwanza kwa mwaka huu 2018 kuendelea na kuyaishi …
Monthly Archives: January 2018
267: Haya ndio Macho Uyatumie kuona kiundani
Habari rafiki na mfuatiaji wa blogu hii kila siku, katika chambuzi za vitabu na hamasa za kuchukua Hatua kila. Kila siku ni ya pekee sana kwetu kwenda kujifunza na kujiboresha zaidi ya jana. Na nafasi hii ya kuwa hai na kuwa na muda ni ya kipekee sana. Safari hii ya kuendelea na kujifunza kila siku …
Continue reading “267: Haya ndio Macho Uyatumie kuona kiundani”
266: Huwezi Kukosa Kila Kitu, Kuna Hivi Unamiliki
Salam Kwako Msomaji na Rafiki, Nafasi ya Uhai na Muda ni ya pekee sana kumshukuru Mungu. Si kweli kuwa mtu anasema sina kitu, sina maana au sina thamani. Kuna upande ajajua bado katika upana wake. Tatizo la wengi huja kwa kutoona vilivyo karibu kuwa vina thamani mpaka vipotee. Na macho ya wengi huwa katika kuvifuta …
Continue reading “266: Huwezi Kukosa Kila Kitu, Kuna Hivi Unamiliki”
265: Tengeneza Mfumo huu wa Maisha Ili Iwe Rahisi Kupiga Hatua.
Salam Rafiki na Msomaji wa Blogu hii kila siku. Kila kilicho katika mfumo ni kazi sana kutoka nje ya mfumo husika uliopo. Na hii ndio nguvu ya mfumo wa aina yoyote ile, iwe ni mfumo wa upumuaji, au mfumo wa elimu au mfumo wa uongozi. Kubadili hali ya mfumo ni kuingia katika mfumo na kufanya …
Continue reading “265: Tengeneza Mfumo huu wa Maisha Ili Iwe Rahisi Kupiga Hatua.”
264: Huu ndio Ushindi wa Kuutafuta Kila Siku
Awali ya Yote, Salam Rafiki na mfuatiliaji wa blogu hii kila siku ya figa la ushairi, chambuzi za vitabu na hamasa za kuchukua hatua. Nafasi hii ya kuwa hai na kuwa na muda ni ya kipekee sana kumshukuru Mungu. Rafiki bila shaka unaendelea vizuri na safari nzima ya kulisha akili yako kwa maarifa ili kuona …
Continue reading “264: Huu ndio Ushindi wa Kuutafuta Kila Siku”
263: Hii ndio Sarafu ya Kutumia Karne hii Kupiga Hatua.
Kuchelewa wakati mwingine ni jambo la heri. Na hii ndio namna ya kutazama mambo kwa tafsiri zinazokuja katika vichwa vyetu. Shida huenda isiwe ni kitu au jambo ila namna ya maana katika kuona kwetu ndio kikwazo kikubwa. Nafasi hii ya kuendelea kuziona siku hadi siku ni kumshukuru sana Mungu. Kutumia kujiboresha ndio namna nzuri ya …
Continue reading “263: Hii ndio Sarafu ya Kutumia Karne hii Kupiga Hatua.”
262: Hiki ndicho kitaendelea kukukwamisha ukiacha kiwepo Mwaka huu 2018
Karibu sana rafiki katika safari ya mwaka mpya tena. Ni nafasi ya pekee sana kuendelea katika safari ya kujiboresha kwa mwaka huu. Mwaka ulishaisha na huu ndio mwaka mpya wa kupiga hatua kubwa zaidi. Kila siku sisahau kuwa ni zawadi ya kuitumia kwa uzuri katika kujiboresha na kuwekeza zaidi kwako. Karibu tuanze safari hii pamoja …
Continue reading “262: Hiki ndicho kitaendelea kukukwamisha ukiacha kiwepo Mwaka huu 2018”
261: Heri ya Mwaka Mpya, Ukawe Mwaka Bora na Ushindi Kwako
Naimba wimbo Kutunga, Kutunga au Kughani Muumba nijuze Kunga, Kunga mpaka mizani Nayo yote tulopanga, Tufike hadi Mwishoni Asante tena Muumba, Kutupa Hii Nafsi. Huu Mwaka wa Ushindi, Uwe bora kila Siku Kushinda ni fungu letu, Kuwa bora zamu yetu Ni nafasi kila mtu, Ongoza hatua zetu Tusote Hatua kutu, Ushindi Safari kwetu Asante tena …
Continue reading “261: Heri ya Mwaka Mpya, Ukawe Mwaka Bora na Ushindi Kwako”