Habari ya siku ya kufungia mwezi huu wa Pili, na panapo uzima na afya Mungu atuwezeshe mwezi wa 3 tuendelee kuweka juhudi na kujiboresha kila siku kwa njia ya Maarifa mbalimbali ili kutengeneza Maisha yaliyo bora na yenye kugusa na kuinua watu wengine pia. Nikupongeze sana kwa unayechukua muda kujisomea na kuchukua hatua haya nayokushirikisha …
Monthly Archives: February 2018
310; Uchambuzi wa Kitabu, Mambo 25 Niliyojifunza Kitabu THE POWER OF THE SECOND QUESTION by Chris Skellett.
Habari ya Juma la 9, Nafasi ya uzima na afya ni ya pekee sana kumshukuru Muumba, Hivyo kujiboresha, kujifunza na kuchukua hatua ni kazi zenye faida kubwa sana kwetu katika kufanikiwa karibu katika kitabu cha pili kwa wiki hii ili maisha yetu yawe bora na tukapiga hatua kubwa zaidi ya Jana. Maisha yanayokosa tafakari ni …
309; Uchambuzi wa Kitabu, Mambo 25 Niliyojifunza Kitabu HABIT TRIGGERS, How To Create Better Routines and Success Rituals by Romuald Andrade
Tafsiri ya Jina la Kitabu; VICHOCHEO VYA TABIA, Namna ya Kutengeneza mfumo mzuri kwa ajili ya mafanikio Habari ya Juma la 9, Nafasi ya uzima na afya ni ya pekee sana kumshukuru Muumba, Hivyo kujiboresha, kujifunza na kuchukua hatua ni kazi zenye faida kubwa sana kwetu katika kufanikiwa Maisha yetu na matokeo ya hali zetu …
308; Mwisho Wa Juma La 8, Mambo 8 ya Kuyapa Uzito tena
Hongera kwako kwa Juma la 8 sasa toka mwaka uanze, na pia ni jambo la kumshukuru Mungu kwa nafasi hii ya pekee sana. Siku zinaponyoka na hazingoji mtu yeyote katika kumpa nafasi tena ikiwa hapana kipaumbele Katika mambo ya kila siku katika maisha yetu. Nafasi hii ya kuwa katika Juma la nane ni ya kipekee …
Continue reading “308; Mwisho Wa Juma La 8, Mambo 8 ya Kuyapa Uzito tena”
307; KIJITABU ~ MAFICHONI KUJIFICHUA 06
Mwandishi: Raymond Nusura Mgeni Kurasa 57 Kurasa chambuzi 42 ~ 47 Una utele ndani yako licha unaweza kuona utupu mkubwa sana. Kudhihirisha hili ni kuwa katika kuzaliwa hapana kikubwa huonekana, lakini katika udogo huu makubwa huanza kutokea. Ni dhahiri na wazi kuna mengi yalofichika ndani yako yanayosubiri uamuzi wako wa kuanza na kuyaleta katika kuonekana, …
306; Usiseme KESHO, Liwezekanalo Leo
Habari Rafiki, na mfuatiliaji wa blogu hii ya figa La ushairi kila siku, pamoja na chambuzi za vitabu na hamasa yenye Kuchukua hatua na kupata matokeo yake. Nafasi ya kuwa mzima na kuwa na Muda ni Shukrani kubwa sana kwa Muumba, hivyo kutumia katika kuishi vizuri, kugusa maisha ya watu wengine ni fungu jema sana …
305; KIJITABU ~ MAFICHONI KUJIFICHUA 05
Mwandishi: Raymond Nusura Mgeni Kurasa 57 Kurasa chambuzi 36 – 41 Maisha ni sanaa ya kila siku inayohitaji ufundi na namna ya kuyafanya mambo kuwa yenye kuvutia, kama vile ilivyo kwa mchongaji wa kuchonga vinyago mpaka apata umbo alitakalo inamchukua muda mrefu na ustahimilivu katika kuyafikia matokeo bora ya juhudi yake ya Sanaa ya kuchonga. …
305; KIJITABU ~ MAFICHONI KUJIFICHUA 05
304; KIJITABU ~ MAFICHONI KUJIFICHUA 04
Mwandishi: Raymond Nusura Mgeni Kurasa 57 Kurasa chambuzi 26 ~ 35 Ushindi wa kitu chochote kile ni hamasa kubwa sana ya kuendelea kusonga mbele. Ushindi ni hatua kubwa sana katika maisha ya kila siku, Ushindi dhidi ya tabia Fulani zinazokukwamisha Kupiga hatua, Ushindi juu ya Sauti za kukukatisha tamaa, Ushindi juu ya mitizamo hasi na …
303; KIJITABU ~ MAFICHONI KUJIFICHUA 03
Mwandishi: Raymond Nusura Mgeni Kurasa 57 Kurasa chambuzi 16 ~ 25 Maisha ni muunganiko wa mambo madogo madogo yanayoanzia katika maamuzi yanayofanywa kila siku kutoka Katika lisaa na hata siku nzima. Hivyo kama katika msingi wa awali wa kuanzia ulipo ni kuanza na hatua ya maamuzi sahihi na kisha katika maamuzi hayo sahihi Msingi imara …