291; Kupepesa Macho katika Usomaji wa Kitabu cha Robert Kiyosaki cha CASHFLOW QUADRANT

*It does not take money to make money* Tafsiri yake _haichukui fedha kutengeneza Fedha* Habari Rafiki na mfuatiliaji wa blogu hii katika kujifunza na kuchukua hatua ili kupata matokeo bora zaidi kila siku katika utendaji kazi wa Yale tunayoendelea kujifunza kila siku katika maisha yetu. Huenda kidogo msemo huu katika kitabu hiki cha Robert Kiyosaki …

290; Mambo 7 Katika Tafakari ya Wiki

Wiki ni kipimo kizuri sana katika Kupima matokeo makubwa ya hatua zako za kila siku ikiwa ulianza na nidhamu kubwa ya dakika, saa mpaka siku nzima na kisha siku saba katika wiki. Siku huanza asubuhi na jioni hufika pia. Ndivyo wiki hukatika kila inapofika siku za mwisho za Juma, basi huleta njia ya wiki nyingine …

289; Upande wa Pili wa Maisha Usikufanye Uache Kusonga Mbele

Habari Rafiki, Na mfuatiliaji wa blogu hii ya figa la ushairi, chambuzi za vitabu na hamasa ya Kuchukua Hatua kila siku. Niombe radhi kwa siku ya Jana kukosekana kwa chochote Katika blogu kwa kupata changamoto ambayo ilinishinda kufikia muda muafaka kutuma. Katika hili nimeendelea kujifunza kuwa safari haikwamishwi na kuharibika kwa tairi, ikiwa ni abiria …

Design a site like this with WordPress.com
Get started