334; Siku 90 za Mwaka Huu na Maswali 5 ya Kujiuliza

Habari Rafiki kwa siku mpya tena, na leo ni siku ya 90 toka mwaka huu uanze pale mosi ya Januari. Si jambo dogo hata kidogo safari hii ndefu ya miezi 3, kuna mengi sana yametokea kwa kipindi hiki ya kujumuisha mafunzo, visa, matukio, mikasa, changamoto na hata mafanikio. Jambo kubwa ni kumshukuru Mungu kama bado …

333; Unachosoma au Kujifunza Unakitumia ?

Any man who reads too much and uses his own brain too little falls into lazy habits of thinking ~ Albert Einstein Tafsiri; ( Mtu yeyote asomaye sana na anatumia kidogo kukifanyia kazi ni sawa na mtu mwenye ufikiri wa kivivu ). Juma la 13 linaenda kwisha na kuingia juma la 14. Habari ya siku …

332; Kama ungejiandikia Barua leo ya Miaka 20 ijayo kutoka sasa ungemshauri nini wewe afanye leo maishani

Barua ni njia moja ya mawasiliano ambayo haijapoteza nguvu zake licha kuwa watu wengi wameacha kuandika sasa, huenda ni sababu za maendeleo katika nyanja za kimawasiliano kufanya uandikaji barua kushuke. Lakini uzuri wake bado upo kwa waandikaji, na inaturudisha nyuma katika miaka zaidi ya 400 ilopita ambapo wanasayansi, waandishi na hata wanafalsafa walikuwa wakiandika barua …

331; Mambo 27 niliyojifunza Siku 27 za Mwezi Machi (Miezi 3 ya Mwaka 2018)

Habari Rafiki, kwanza nikupe hongera sana kwa nafasi hii ya kuendelea na kujifunza, kujiboresha na kuchukua hatua kila siku. Nafasi ya kuwa hai ni zawadi ya pekee kufanya yaliyo muhimu na kusogea hatua kubwa zaidi kila siku. Mwezi wa tatu unaishia na si muda mrefu mwezi wa nne wabisha hodi kuingia nao utakuja na kupita, …

330; Nukuu ya Tafakari, Hakuna kitu kinachouma sana kama kuja kugundua ulipoteza Muda.

There is no greater harm than that of time wasted ~ Michelangelo. Kama ingekuwa ni rahisi na inawezekana ukiondoa uhai, basi muda unachukua nafasi ya pili kuwa ukienda haurudi. Licha ya kufahamika na watu kuwa muda ukienda haurudi na hakuna dawa yake kuwa urudishe tena mambo nyuma, lakini katika haya yote bado muda umekuwa unapotezwa …

329; Mwisho wa Juma la 12, Kama ingekuwa rahisi kila mtu angefanya

Habari Rafiki, bila shaka siku yako imeanza vizuri kabisa. Nafasi ya kusoma huu ukurasa naotaka tushirikishane ni wazi umepata nafasi ya kuwa hai, hivyo ni jambo la kumshukuru sana Mungu kwa nafasi hii ya kipekee, usisahau kazi 3 muhimu kila siku; kujifunza, kujiboresha na zaidi kuchukua hatua. Kwa kazi hizi basi maisha hayatakuwa yale yale …

328; Malengo 17 ya Maendeleo Endelevu ya Dunia

1. Lengo la Kwanza; Kufuta umaskini wenye sura zote kila mahali Umaskini ni shaka, na huleta matatizo Tena kibaya kichaka, huzalisha na uozo Je lengo tumelifika, kuona pana ongezo Bado hitaji uwezo, umaskini kuondoka. 2. Lengo la Pili; Kuondoa njaa, kuwa na Usalama wa Chakula, kuboresha hali ya lishe na kukuza kilimo endelevu Twendeni tena …

327; Tafakari ya Siku ya Washairi, Take A Moment, and Say Thank for Everything ( Tulia na Tafakari, yatosha Kusema Asante kwa Kila Kitu )

Habari Rafiki, bila shaka siku ya leo imekuwa nzuri sana kwako na sisi washairi siku ya leo imekuwa ya aina yake. Kabla ya mambo yote basi nafasi ya uhai na kupata muda ni zawadi za pekee zaidi duniani maana zikipotea basi hakuna namna ya kuweza kuzipata shukrani ziende kwa Muumba. Hivyo nafasi hizi zafaa sana …

326; Wiki ya Alama, Nukuu 5 Za Leonardo da Vinci na tafakari ya Kina

Kuna Maisha ya watu walowahi kutembelea hapa duniani na wakaacha alama si ya kufutika kwa kipindi kifupi, bali alama zao zimedumu vizazi na hata vizazi na hata vijavyo baada ya uwepo wetu kupita. Basi maisha ya Leonardo da Vinci ni mfano tosha wa watu wachache sana waliofanya makubwa sana nyakati zao Katika kubobea nyanja nyingi …

325; Wiki ya Alama, Matokeo yapo Katika Kufanya si kujua tu

I have been impressed with the urgency of doing. Knowing is not enough; we must apply. Being willing is not enough; we must do ~ Leonardo da Vinci Habari ya asubuhi Rafiki, bila Shaka siku yako imeanza kwa uzuri kabisa, nafasi ya kuwa hai na siha njema ni ya kumshukuru sana Mungu kwa kuwa tumepewa …

Design a site like this with WordPress.com
Get started