324; Wiki ya Alama, Your Brain is much better than you think ( Ubongo wako ni wa ajabu zaidi ya Unavyofikiri ).

Maisha ya Leonardo na Muhtasari wa Mbinu 7 za kutumia uwezo wa asili uliopo ndani ya Mtu. Habari ya siku mpya Rafiki, siku mpya tena na nafasi ya Uhai na kuwa na muda ni ya kumshukuru sana Mungu. Wiki na Juma letu la 12 tumeshalianza sasa na utayari wako wa kuendelea kujifunza basi utakupa nafasi …

323; Juma la 12 Maisha ya Mwana sayansi Leonardo da Vinci na Mbinu 7 za Kufikia uwezo Mkubwa alopewa mtu.

Habari Rafiki, bila shaka umekuwa unafaidika sana na maarifa haya kila siku, na zaidi nitaona ukipiga hatua kubwa zaidi pale unapokuwa umeamua kuwa mtu wa matendo na maneno ukaweka kando. Ni kundi la wale wanaokubali kuwajibika na kujitoa na hata kulipa gharama ili wapige hatua hupata matokeo bora sana. Hivyo nafasi ya uwepo wako duniani …

322; JIAMBIE UKWELI, Rahisi Kusema Kuliko Kufanya

Think Before you Act Fikiri Kabla ya Kutenda Habari Rafiki, kila siku ni siku mpya kwako na wewe ni mchoraji na mwandishi kuandika au kuchora kile unachotaka kukifanya leo na ukaongeza utamu au ugumu katika hadithi ya Maisha yako. Nafasi ya Uhai na Muda ni zawadi za pekee kutoka kwa Muumba alotujalia asubuhi hii tufanye …

321; Gereza ulilojitengenezea Pasipo Kujua

Habari Rafiki, kila siku katika maisha yetu ni nafasi ya kuandika kitu katika kurasa za Maisha yetu iwe ni katika maisha yetu binafsi au MAISHA ya watu wengine. Nafasi hii ya uhai na kuwa na muda ni ya pekee sana kumshukuru Mungu na hivyo kazi zetu 3 muhimu iwe ni kujifunza, kujiboresha na kuchukua hatua …

320; KURASA 6 Kitabu Embracing Uncertainty ( Achieving Peace of Mind as we Face the Unknown ) by Susan Jeffers

Tafsiri iso rasmi; Kukumbatia Sintofahamu ( Kufikia Utulivu Wa Fikra kukabiliana na Sintofahamu ) na Mwandishi Susan Jeffers. The Wonder of Wondering ( Hali ya Kushangaa ) Habari Rafiki, bila shaka maisha Kwako yameendelea kuwa darasa kila siku ukiwa unajifunza na kuweka juhudi kila siku ili kuwa mtu bora zaidi ya Jana. Nafasi ya kuwa …

319; KURASA 12, Kitabu Embracing Uncertainty ( Achieving Peace of Mind as we Face the Unknown ) by Susan Jeffers

Tafsiri iso rasmi; Kukumbatia Sintofahamu ( Kufikia Utulivu Wa Fikra kukabiliana na Sintofahamu ) na Mwandishi Susan Jeffers. Habari Rafiki, karibu katika Kurasa vitabuni na kuendelea kuwa na hatua kubwa kila siku. Nafasi ya kuwa hai ni nafasi ya kipekee sana katika maisha yetu kuelekea katika kufanikiwa. Licha kuweka juhudi mbalimbali ili tuwe na maisha …

318;Tatizo lenye Mizizi hatukati Majani

Habari Rafiki, leo ikiwa ni siku ya 66 kwa mwaka. Siku zinasogea, Kurasa zinaandikwa, na dunia haijaacha kusimama inaendelea hata sasa. Nafasi ya kuwa Hai na uwepo wa Muda ni ya Upekee sana, tumia siku hii ya leo kujiboresha, kujifunza na kugusa Maisha ya watu wengine kwa ujuzi wako, maarifa na elimu ili uwe mmoja …

317; Chakubeba, Maisha ya Ratiba za Kila Siku za Wanasanaa Kitabuni DAILY RITUALS, How Artists Work By Mason Currey

RATIBA ZA KILA SIKU, Wasanaa na Kazi zao Maya Angelou ( 1928 – 2014 ) Karibu sana katika kurasa za kipekee za Chakubeba kutokana na maisha ya wanasanaa ( waandishi, washairi, waimbaji, wachongaji na wachoraji na kadhalika ) mbalimbali namna ya ratiba zao za kila siku zilivyowafanikisha katika mafanikio yao na hata umashuhuri wao mkubwa. …

316; Toka Ulipo, Anza Kutembea

Habari ya siku mpya Rafiki, Leo ni Ukurasa mwingine tena umefunguka una nafasi ya kuandika kitu kwa kitabu chako cha hadithi ya Maisha. Tunaanza na kuona thamani ya Uhai na Muda ni kama zawadi zenye upekee sana ambazo Muumba katupa nafasi hii. Huenda ni kundi la watu wengi walipenda kuziona nyakati kama hizi lakini hawapo …

315; Safari ya Utajiri na Vituo 3 vya Kupita

Habari Rafiki, tukiwa pamoja katika kuanza safari yetu ya hatma ya safari yetu kufikia mji uitwao UTAJIRI, kwanza kabisa afya na muda tulionao na tutakapopaenda huko tunamshukuru Mungu kutupatia nafasi hii. Basi kama zilivyo safari zozote zile zinahitaji maandalizi bora ili kuhimili changamoto na hata vikwazo mpaka mwisho wa safari yetu ufike. Safari hii ya …

Design a site like this with WordPress.com
Get started