314; Uchambuzi wa Kitabu, Mambo 20 + 2 Niliyojifunza kitabu BELIEVE And ACHIEVE ( A collection of inspirational thoughts and images ) by Publishers Parragon in 2009

Habari Rafiki, U hali gani wewe ?. Nianze kwa kukupa hongera kwako kwa kufuatilia zoezi hili nilokuwa nimejiwekea La kusoma vitabu 7 kwa wiki, na kufanikiwa kusoma vitabu 6 tu kwa wiki hii, kama malengo nimeshindwa kufikia adhma yangu kufikia ushindi wa zoezi hili la faida kwangu na kwako unayesoma na kujifunza, na zaidi ni …

313; Uchambuzi, Mambo 15 Niliyojifunza kitabu INSPIRATIONAL MEDITATIONS by Parragon in 2011

Habari Rafiki katika siku hizi za chambuzi za vitabu. Awali ya yote nafasi ya kuendelea kuwa hai na kupata muda ni jambo la kumshukuru Mungu kwa zawadi hii ya pekee na yenye ukomo. Pili naomba radhi kwa Siku ya Jana imepita kwa kukosekana kwa uchambuzi wa kitabu kwa sababu ya sababu zilizokuwa nje ya uwezo …

312: Uchambuzi wa Kitabu, Mambo 16 Niliyojifunza Kitabu WINNING is a CHOICE By Paul Meier, Md and Jim Hiskey

Habari Rafiki katika mfululizo wa maarifa vitabu, leo ikiwa ni siku yetu ya 4 katika mfululizo wa chambuzi za vitabu mbalimbali ili Maisha yetu yazidi kuwa bora. Hatua hii ya kujifunza ni ya kipekee tukiwa bado tupo hai na nafasi hii katupatia Muumba tujiboreshe na tupige hatua kubwa zaidi siku hadi siku. Hupotezi unapoweka juhudi …

Design a site like this with WordPress.com
Get started