349; Urahisi huja ukijua kilivyo.

Once you know it, it becomes simple Habari Rafiki, bila shaka umeamka salama kabisa kuanza siku mpya na kuongeza hatua zako kuelekea mwezi wa 5. Nafasi hii ya kuwa na uhai na muda ni ya kipekee sana, na tunapotumia katika kujifunza, kuchukua hatua na kuwa wawajibikaji basi tunatendea haki nafasi hii ya sisi kuwa hai. …

348; Mambo 29 tafakari ya Mwisho wa Mwezi Aprili

Habari Rafiki, naamini unaendelea vizuri na hatua zako siku hadi siku. Kuwa hai mpaka sasa ni zawadi ya pekee na ni vyema kuichukulia kwa uzito sababu si tu kuwa ina kikomo, hapana ni pamoja na kuwa kuwa hai kwetu kuna kusudi na kazi kubwa twatakiwa kuifanya na wakati ni huu wa kuwajibika. Hongera sana Rafiki …

347; Zawadi na Vifurushi Vya Maarifa Mwezi Wa 6

Habari Rafiki, hongera kwa safari nzima ya kujitoa kwako katika kuwa mtu bora siku hadi siku unapokuwa wajifunza, wachukua hatua na pia kupata matokeo. Nafasi hii ya sisi kuwa wazima tumshukuru Mungu na si ya bure, ni ya maana kubwa sana tukifahamu pia hatunayo wakati wote. Hivyo kujifunza na kuchukua hatua ni mambo yanayotakiwa kwenda …

346; Maisha ni Muunganiko

Hakuna kitu cha simama pekee isipokuwa Wadudi. Vingine vyote vi katika kutegemezana katika kutengeneza umoja wa kitu au hali. Na siri ipo hapa yanapoangaliwa maisha kwa mapana yake, maisha ni muunganiko wa matukio na maamuzi ambayo yanavyofanywa sasa, yalofanywa jana. Hivi ndivyo namna maisha yanaenda yakizalisha matokeo sababu ya usabibishi ambao nao u katika muunganiko …

345; Falsafa na Maisha ~Tunasahau, Hivyo Jifunze, Fanya na Fundisha.

That’s why the philosophers warns us not to be satisfied with mere learning, but to add practice and then training. for as time passes we forget what we learned and end up doing the opposite, and hold opinions the opposite of what we should ~ Epictetus Habari Rafiki, Nyakati za jioni ni moja ya nyakati …

344; Kurasa za kitabu ‘The Obstacle Is the Way by Ryan Holiday’

Tafsiri; ( Kikwazo ndio njia 10 ~ 15) Habari Rafiki, karibu katika kurasa kitabuni na mwendelezo wa kitabu cha wiki hii katika Hatua Kubwa, Ghala la Fikra Pevu na Blogu ya Figa la Ushairi. Kumekuwa na vitabu vingi sana vimeandikwa juu ya mafanikio na namna ya kufanikiwa na vichache sana vimeandika kuhusu namna gani ya …

343; Duka la Maarifa ~ Kitabu the Dip by Seth Godin

Habari Rafiki, ni siku nyingine tena ya kipekee Mungu katujalia kuwa na uhai na kupewa zawadi ya maisha ni jambo la kumshukuru sana Mungu. Wengi wangetamani kama ingetokea nafasi hii basi wangerudi kufanya hivyo lakini nafasi hiyo haipo. Lakini nafasi hiyo ya kufanya au kuchukua hatua ipo kwangu na wewe tungali na muda wa kufanya …

342; Kurasa za kitabu ‘The Obstacle Is the Way by Ryan Holiday’

Tafsiri; ( Kikwazo ndio njia 1~ 10 ) Habari Rafiki, ni wakati mwingine tena wa kuendelea kujifunza katika kurasa za vitabu. Na mwanzo wa wiki nyingine ni msingi wa wiki ya sasa umejipangaje na vivyo kesho ni msingi wa leo unavyoitumia. Vitabu vimekuwa ni njia rahisi sana ya kusafiri hata sehemu ambazo tusingefikiri kama tungefika, …

341; Tafakari ya kina, Ulipo kuna watu wamegharimika

Habari Rafiki, maisha yetu ni darasa lisiloisha kujifunza unapokuwa na nafasi ya uhai na muda. Kila siku kuna kitu fulani cha kujifunza kama utakuwa na maisha ya kujifunza. Kuna mambo mengi sana ambayo hutupita na kutapata katika maisha yetu hutupa mafunzo na masomo ya kuelekea katika kuyaelewa zaidi maisha siku hadi siku. Kujifunza kutokana na …

340; Kurasa 4 za Vitabu na Tafakari ya kina

Habari Rafiki, u hali gani?, nafasi ya sisi kuwa hai ni zawadi kubwa toka kwa Mungu kutupa nafasi ya kuendelea na pumzi. Karibu katika chumba cha maarifa tupate kuendelea kujifunza siku hadi siku. Kuna vitu vingi sana tunakosa Kwa kukosa kuwa na muda wa kujifunza katika vitabu. Vitabu vimejificha siri kubwa sana ya kusheheni maarifa, …

Design a site like this with WordPress.com
Get started