357; Uchambuzi Kitabu,The Book of Happiness ( Kitabu juu ya Furaha ) kilichoandikwa na waandishi wawili Healthier Summers na Anne Watson

Katika maisha kila mmoja anatafuta kuwa na furaha, kuona watu wakifanya mambo na kuishi hivyo yote ni katika kutafuta wapi ilipo furaha. Swali hili limekuwa linafanya watu kutafuta furaha kwa njia ambazo hazijawapa furaha na zaidi kuishia kuikosa furaha ambayo walikuwa wakiitafuta. Waandishi hawa wawili wazoefu katika kushiriki na kufundisha watu kutambua uwezo wao wa …

356; Uchambuzi wa kitabu~ WHY WE WORK by Barry Schwartz ( Kwanini tunafanya kazi ? )

Habari Rafiki na msomaji wa chambuzi za vitabu na kujifunza kupitia duka la maarifa. Siku sio nyingi kulikuwa na siku ya wafanyakazi duniani. Kazi ndio msingi wa mambo kutokea duniani na dunia ikawa sehemu nzuri kwa kuishi, lakini swali muhimu sana ambalo mwandishi Barry Schwartz limebeba jina la kitabu chake ‘WHY WE WORK’. Kwanini tunafanya …

355; Yaliyofichika Ukithubutu

Maisha ni shule pana sana na kadri siku zinapokwenda ndipo mengi zaidi ya kujifunza na kuwa na maangalifu zaidi. Shule hii inapima mambo mengi sana kuanzia mtu amkapo na pale aenda kulala kisha siku moja yapita, yafuata na hata miaka hupita kwa namna hii ya siku hadi siku. Kuna mambo mengine katika shule hii hutayapata …

354; Jiangalie ulipo leo na Jana, Kisha ishi kama Mchongaji

Habari Rafiki, kila siku ni mpya na ukiamua kufanya kitu kwa uzito kuwa leo huenda ikawa siku ya mwisho usione kesho basi utafanya sasa, na hutachelewa kuchukua hatua. Nafasi hii ya siku ya pekee na kuwa hai ni zawadi toka kwa Muumba yenye uzito mkubwa kwa kila aonaye kuwa kuwa hai ni nafasi yenye ukomo …

353; Ugumu au Urahisi na Kanuni ya Kurudia rudia ( Principle of repetition ).

Maisha ni riadha. Kadri siku zinavyokwenda ndipo unapojiona kuna mengi hufahamu na wakati huo huo kuna mengi umefahamu ya sasa, lakini yajayo huwa katika hali ya uhakika wa sintofahamu. Maisha yana sura ya ajabu sana ikiwa u mtu unajipa muda wa utulivu na kutazama na kujifunza juu ya matukio, mazingira na watu wanaotuzunguka maeneo mbalimbali. …

352; Uchambuzi wa kitabu, Turn Your Passion into Profit by Walt F.J. Goodridge. ( Badili Shauku, Kipaji chako Kiwe Faida/Thamani )

Habari Rafiki, Karibu katika duka la maarifa na kufaidika na chambuzi mbalimbali za vitabu ili maisha yetu yazidi kuwa bora siku hadi siku. Kwa njia ya maarifa na kuyatumia kunasaidia tupunguze makosa na kupoteza nguvu na muda katika kufanya mambo tukiwa na ufahamu wa juu juu ambao huwa watugharimu sana katika maamuzi yetu ya kila …

351; Unavyo vingi sema watazama usivyonavyo

Habari Rafiki, ni siku mpya tena na siku 122 toka mwaka uanze na siku zinaenda hazirudi nyuma, na katika siku hizi mengi yametokea ukiwa ni mtu wa tafakari. Nafasi ya mimi na wewe kuona tena si jambo rahisi kama ambavyo huwa twaona na kuchukulia kiwepesi mshukuru Mungu kwa nafasi hii ya pekee. Leo ni siku …

350; Chumba cha Falsafa ~ Kujiona umemaliza kujua

Examine your life Take a disciplined look at your actions Test your perceptions Then, you will discover how much you don’t know. ( Book Resilience by Eric Greitens ) Katika historia za falsafa, hutakosa kumtaja mwanafalsafa Socrates kwa namna maisha yake yalikuwa ya kipekee na aina ya maisha yake yakafanya awe hatiani na kuishia kifo …

Design a site like this with WordPress.com
Get started