386; Hatua za Hatari, Usiweke Silaha Chini, Endeleza mapambano mpaka mwisho, Hakuna kilicho cha thamani kijacho kirahisi, Kabiliana na ugumu.

Nukuu yangu ya kila siku, siku za kuwa hai ~ Nitajikana, nitajisukuma isivyo kawaida, na ninakubali kuwa mimi ndio najichelewesha siku zote. Sitashindana na mtu , zaidi ya mimi wa jana siku zote za maisha yangu Ni rahisi sana katika maisha kuchagua kutokusonga mbele kuliko kuendelea mbele kati kati ya magumu, ya vikwazo au ya …

385; SEMINA ~SIKU 5 ZA KUTOKA HAPO ULIPO na KUCHUKUA HATUA KUBWA, na KUJISUKUMA ZAIDI

Moja ya faida kubwa sana katika nyakati tunazoishi ni urahisi wa upatikanaji wa taarifa na maarifa, na tena wakati huo huo licha ya kuwa na urahisi huo wa taarifa na maarifa, tumejikuta katika changamoto kubwa sana ya mafuriko ya maarifa na taarifa, kiasi kwamba unakosa kujua lipi ulishike na lipi uache, kila siku kuna ongezeko …

384; Hatua za Hatari; Ndoto kubwa, maono makubwa, hatua kubwa na gharama yake ni kubwa, Jisukume isivyo kawaida upate unachotaka.

Nukuu yangu ya kila siku, siku za kuwa hai ~ Nitajikana, nitajisukuma isivyo kawaida, na ninakubali kuwa mimi ndio najichelewesha siku zote. Sitashindana na mtu , zaidi ya mimi wa jana siku zote za maisha yangu Kuitwa bilionea kuna raha, na pengine kupendwa na kila mtu, kuwa na utajiri kunavutia sana na ndio pengine kila …

383; Uchambuzi wa kitabu; Boundless Energy, The Complete Mind~ Body Programme For Beating Persistent Tiredness ( Nishati tele, Namna ya Kushinda hali ya kuchoka na uchovu wa kudumu )

Kuchoka, kutojisikia na kukosa nishati ni moja ya dalili mbaya sana za kufanya usipige hatua kubwa katika maisha. Licha unaweza ukawa na muda wa kutosha, lakini kama umeamka umechoka, siku yako hujisikii kufanya kitu, nguvu huna za kujisukuma kufanya mambo basi huo muda hauna maana kwako, maana si katika usimamizi wa muda pekee tunakopigania katika …

382; Uchambuzi wa kitabu; SELF IMPROVEMENT 101 by John Maxwell ( Uboreshaji binafsi, na namna unavyoweza kufanikiwa zaidi )

Kama mmea hauki unapoteza sifa ya ukuaji, na hata kama ni mtoto ambaye haonyeshi dalili za ukuaji wake basi mzazi lazima ajiulize sana shida nini ?, nini tatizo la kudamaa kwa mtoto wake. Lakini swali hili ambalo huwa linaulizwa katika mifano hii kwanini mmea haukui, au ardhi haimei ? linakosa kuulizwa pale linapoulizwa katika sura …

381; Hatua za hatari; Unapokosa hewa na hitaji la hewa linapokuwa Kubwa

Hatua za hatari; # Nukuu yangu ya kila siku, siku za kuwa hai ~ Nitajikana, nitajisukuma isivyo kawaida, na ninakubali kuwa mimi ndio najichelewesha siku zote. Sitashindana na mtu , zaidi ya mimi wa jana siku zote za maisha yangu Siku moja kama hii ya leo ni zawadi na kama tukiipa uzito inatosha sana kutupeleka …

380; Uchambuzi wa Kitabu, THINKPAK, A Brainstorming Card Deck Michael Michalko ( Zana ya Tafakuri, na Kanuni 9 za Uzalishaji Majibu ya Changamoto )

Elimu ya tafakuri ni muhimu sana kwa kila mmoja kuwa na ufahamu ni kwa namna gani changamoto zinazojitokeza katika maisha ya kila siku ziweze kutatuliwa kwa njia au kanuni ambazo zipo na zinahitaji kupewa uzito na kutumika katika maisha ya kila siku. Tafakuri binafsi au ya kundi juu ya tatizo fulani ni njia mojawapo ya …

379; Hatua za Hatari, Kitabu Kimoja Kabla Siku haijaisha ( THINKPAK by Michael Michalko ) na Bonasi ya Maarifa.

Hatua za Hatari # Nukuu yangu ya kila siku, siku za kuwa hai ~ Nitajikana, nitajisukuma isivyo kawaida, na ninakubali kuwa mimi ndio najichelewesha siku zote. Sitashindana na mtu , zaidi ya mimi wa jana siku zote za maisha yangu. Habari ya asubuhi Rafiki, ni siku nyingine tena ya kipekee sana ambayo Mungu katupa nafasi …

378; Hatua za Hatari; Nitajisukuma isivyo Kawaida na misingi 2 ya kwanza kuijenga katika maisha yangu

HATUA ZA HATARI. # Nukuu yangu ya kila siku, siku za kuwa hai ~ Nitajikana, nitajisukuma isivyo kawaida, na ninakubali kuwa mimi ndio najichelewesha siku zote. Sitashindana na mtu , zaidi ya mimi wa jana siku zote za maisha yangu. Maisha ni mapambano hilo uanze kujua kama ulikuwa hujui, na kama ulijua ila ukaweka wepesi …

377; Uchambuzi wa Kitabu~ I, STEVE by Steve Jobs ( Steve Jobs Katika Nukuu za Maneno Yake ), Mambo 25 ya kujifunza katika tawasifu yake.

Agosti 24, 2011 Kwa Bodi ya Wakurugenzi na Jamii ya Apple. Nimekuwa nikisema mara kwa mara kuwa ufikapo wakati ambao sina tena nguvu za kufanya kazi na kufikia matarajio ya kampuni ya Apple kama Mkurugenzi mkuu, nitakuwa wa kwanza kuwajulisha nyie kuwa siwezi tena kuendelea. Lakini wakati niloungoja umenifika sasa wa kujiuzulu kama Mkurugenzi Mkuu …

Design a site like this with WordPress.com
Get started