376; Uchambuzi wa Kitabu, 17ANTI~PROCRASTINATION HACKS by Dominic Mann ( Mbinu 17 za Kushinda Kughairisha, Kushinda Uvivu na Kukamilisha Kazi )

Kughairisha mambo ni tatizo duniani kote, watu wamekuwa wakifanya hivyo na kazi kushindikana kufanyika. Maana kughairisha hakuleti tu mzigo wa kufanya kazi, msongo mkubwa wa mawazo, hofu au kujilaumu lakini pia hukwamisha kukamilika kwa kazi husika na kwa wakati. Ni tatizo ambalo hata watu wakuu katika historia walipitia na ilibidi zitumike njia mbalimbali kuhakikisha wanashinda …

375; Hatua ndogo, Kubwa na Ushindi wa Kitabu Cha The SCHOOL OF MONEY by Olumide Emmanuel

Habari mfuatiliaji wa kurasa kwa kurasa wa kitabu cha The School of Money cha mwandishi Emmanuel Olumide, kwanza kabisa nikupe pongezi kwa kufuatilia mwanzo wa moduli za fedha, elimu ya fedha, kutengeneza Utajiri na Ujasiriamali na mwisho moduli mbili za Mafanikio ya Kweli na Urithi na Kuacha Alama Duniani. Safari yoyote ile huanza na hatua …

374; Hili ndilo JANGA ambalo linakuletea taabu/maafa katika malengo, ndoto na maono yako.

Mtu akianza na neno moja kwa moja na neno janga, basi inaogopesha na kutetemesha sana katika masikio ya mtu. Janga halina uzuri wala furaha ndani yake, janga laleta maafa na taabu katika maisha ya watu. Huenda ni gonjwa au mabadiliko ya kitabia ya nchi kuleta janga ambalo linakuwa si salama kabisa, ila lenye hatari kubwa …

373; Zoezi la nidhamu binafsi halitakuwa rahisi, ila faida za kuliweza ni kubwa kuliko kuacha

Habari Rafiki, bila shaka kila ifikapo jioni unajipa muda na kutazama siku yako imekwendaje?, unajipima wapi umeenda vibaya, wapi umeshindwa lakini umejifunza na wapi pia umeshinda ujipongeze. Ni jioni pekee ndio tunaweza kuipa siku yetu mahesabu namna ambavyo zawadi ya kuwa hai na muda tulivyoitumia, na zoezi hili linakuwa wazi kwako ukifanya mwenyewe. Kufanya na …

372; Jiwekee nidhamu hii kila jioni kama mzani wa namna ulivyotumia siku yako. Na Ukipenda yawe maisha yako siku zote

Maisha ndilo darasa letu siku zote toka tumepata nafasi ya kubahatika kuzaliwa na kuwa hata sasa yameendelea kuwa darasa na hata mwisho wa siku tutakayoondoka duniani. Kujifunza kumekuwa ndani ya hili darasa kukiwa na mengi sana ya kujifunza kuanzia umiliki wa dakika, lisaa na hata siku nzima. Ndivyo siku huanza asubuhi, mchana na hata hufika …

371; Uchambuzi wa kitabu, 30 DAYS OF DISCIPLINE by Victor Pride ( Siku 30 za Nidhamu, Mwongozo wa kuwa mtu mwenye nidhamu binafsi )

Mafanikio pasipo kuwa na msingi wa nidhamu hasa binafsi ya kufanya vitu na mambo ni kazi kufikiwa. Watu wote ambao wamefika juu katika mafanikio ni kwa sababu ya kujiwekea viapo vya kinidhamu kuwa hakutakuwa na visingizio, au sababu Kwanini wasifanye au kughairisha. Hii ndio sifa kubwa duniani kote inayowawezesha watu kufanikiwa kwa haraka zaidi. Kushindwa …

370; Jumatatu ya tafakari, Mafanikio ni Mfumo Tata, A success is a complex system; SUCCESS SYSTEMS by David Oyedepo.

Mental system is one of its system needed to make you succeed Na mfumo wa kufikiri ni moja ya mfumo unaotakiwa kuufahamu uweze kufanikiwa TAARIFA ( Information ) Habari ya asubuhi, ni siku nyingine tena ya mwanzo wa wiki na ni wiki ya 23 ya kuendelea kuboresha maeneo 5 ambayo ukiweka nguvu basi nusu hii …

369; Kazana kujiwekeza ndani yako, na mafanikio ya nje yatakuja yenyewe

Wiki inaisha, ndio mwanzo wa wiki nyingine ikiwa ni wiki ya 23. Kipimo cha wiki ni kipimo kizuri kuendelea kuona ni kwa namna gani tunapiga hatua zetu au pengine tumekwama pia njiani. Haitoshi pekee katika kuendelea kujifunza siku zote ikiwa kuchukua hatua hakupo, hapa utofauti wa yule achukuaye hatua na asiyechukua hatua utaonwa katika matokeo …

368; Ukurasa wa Wiki~Power To Get Wealth ( Nguvu ya Kupata Utajiri ),

Kitabu ~The Pathway to Wealth by Olumide Emmanuel Ukurasa wa 5; Power to Get Wealth, Nguvu ya Kupata Utajiri ( 85 ~ 91 ) Hadithi yenye funzo ( A story with a lesson ) Kuna hadithi hapo kale, Katika nyumba moja ya bwana mmoja tajiri sana aliyekuwa na binti yake wa umri wa kuposwa. Alitoa …

Design a site like this with WordPress.com
Get started