Maneno 6 ndiyo yatakuwa maisha ambayo yataanza mwezi Agosti. Ni mwezi wa ushindi, hatua kubwa, kujifunza na hatua za hatari zaidi na kujisukuma kusiko kwa kawaida na kuacha mazoea ya aina yoyote; SHITUKA AMKA TULIA KWANZA CHUKUA HATUA SASA JISUKUME ANZIA ULIPO na KUWA na MAONO MAKUBWA. Rafiki tupongezane kwa safari ndefu sana na hapa …
Monthly Archives: July 2018
412; HATUA YA KUSHITUKA, Kama kipato chako ukiumwa nacho kinatishia kukauka basi AMKA na chukua hatua mapema sasa
The sea and the ocean never run dry because it receives water from various rivers and streams ~ Olumide Emmanuel, Book ‘The SCHOOL OF MONEY’. Rafiki ni siku mpya, siku ya ushindi na siku ya kufanya makubwa na kwenda kutoa thamani zaidi ya pale pa jana. Na Kama una biashara basi nikufahamishe kidogo juu ya …
411; HATUA ya KUSHITUKA, Kwa Kuwa Fedha zimeisha, basi chapisha fedha zako kwa njia hii hapa. Jaribu leo na utaona matokeo yake makubwa.
Since money has failed, learn to print your own ~ Olumide Emmanuel ( Book, The SCHOOL OF MONEY ) Rafiki ni siku mpya, ni siku ya ushindi, ni siku ya mabingwa na zaidi ni siku ya kushituka na kuanza leo kufanya. Nafasi ya kuwa hai ni ya pekee sana na ndio thamani ya mtu …
410; TAFAKURI ya mwisho wa Juma la 30, Amsha uwezo mkubwa ulionao ndani yako, mwamshe simba aliye ndani yako na jifichue ndani ulichobeba na usife ukiwa bado umejaa kuongeza utajiri makaburini.
Kitabu nilichosoma na kumbukumbu katika notibuku yangu; UNCOVER your POTENTIAL, You are more than you reliaze By Myles Munroe ( 1954 ~ 9/11/2014 ajali ya ndege yeye na mkewe Ruth waliyapoteza maisha yao ) Kifo ni njia ya kila mmoja pale tu tunapozaliwa basi moja kwa moja tunakuwa na nafasi ya kufa siku moja. Ndivyo …
409; TAFAKURI ya jioni, Mfumo bora wa Elimu ya nchi ya Ufini na namna inavyoongoza Duniani kwa viwango bora vya elimu na ubunifu wa shule katika kuhimiza elimu ya vitendo na ufundi ( Schools priority to practical, vocational and development of Creativity)
Kitabu nilichoma leo; CREATIVE SCHOOLS, The grassroots Revolution that’s transforming Education by Ken Robinson Phd. ( SHULE BUNIFU, Chimbuko la Mapinduzi ya Elimu ) Tuanzie hapa na tuwaze kidogo juu ya aina hii ya ufundishaji ambayo mtoto asubuhi anaondoka kuelekea shule akiwa kaamshwa na mlio wa kuku (jogoo ) kokorikoo! Kokorikoo! na mzazi/mlezi amwambia …
408; Tafakuri ya Mchana, ZAMA HIZI ZAMA ZILE; Wao na Sisi na Kesho yetu
Kila siku ni siku ya ushindi na siku bora hata kama zitatokea changamoto, magumu au vikwazo bado nia ya kusonga mbele haitabadilika, wala kujisukuma hakutafika mwisho ikiwa bado uhai upo. Kuna jambo moja tena na tena la kujua kuwa tuna uwezo mkubwa ndani yetu ambao Muumba kaweka kwa kila mtu kufanya makubwa na akaweza kuleta …
Continue reading “408; Tafakuri ya Mchana, ZAMA HIZI ZAMA ZILE; Wao na Sisi na Kesho yetu”
407; TAFAKURI ya Mwisho wa mwezi, Mambo 5 niliyojifunza mwezi Julai, Mwezi wa 8 hatua kubwa ya mabadiliko, Sababu ya 4 kwanini bado nahitaji kujisukuma zaidi kushirikisha maarifa na Makundi 10 ya vitabu nitakavyosoma na kukushirikisha katika safari ya Vitabu 450 mpango wa miaka 5
Habari Rafiki, leo ni siku ya ushindi, ni siku bora na siku ya mabingwa kuendelea na hatua moja zaidi. Nafasi ya kuwa hai ni zawadi ya kumshukuru Mungu sana na kadri ambavyo tutaitumia vizuri basi tuitumie kujifunza, kuchukua hatua na kugusa maisha ya watu wengine ili sote tuwe na maisha bora sana. Mwezi umeisha si …
406; Tafakuri ya siku, Mambo 7 niliyojifunza ya kuchukua hatua katika kitabu nilichosoma leo
Kitabu nilichosoma “21 Distinctions of WEALTH, Attract the Abundance you deserve by Peggy Mc Coll ( Utofauti 21 wa kipekee wa UTAJIRI, Vutia Utele unaostahili ) Siku yangu imekuwa bora sana nimejifunza jambo kuwa kama kweli tunataka kupiga hatua kuelekea mafanikio makubwa tunahitaji sana kuwa na tafakuri hasa za jioni na asubuhi ili kupima ulipoanzia …
405; Hili ndilo eneo pekee lisilo na foleni katika mafanikio na ukiliweza una uhakika wa kufika popote pale uendako.
Habari ya wakati rafiki unayejisukuma kila siku nakusema umechoka kuwa hapo ulipo na unajisogeza mbele kila siku. Kila siku ni siku ya ushindi, ni siku bora na kubwa ni siku uko hai mpaka hapa unaposoma maandishi haya. Mshukuru Mungu kwa nafasi hii ya pekee sana na kuitendea haki ni pamoja na kwenda kujifunza, kuchukua hatua …
404; Tafakuri ya jioni, Ukijiendeleza kwanza wewe unavuta maisha yawe bora na mwisho Taifa linaendelea
Kitabu nilichosoma leo jioni; BINADAMU na MAENDELEO na Julius K. Nyerere Jioni yangu imekuwa nzuri sana kwa kuendelea kujisukuma kujifunza katika vitabu mbalimbali na jioni yangu nikarejea tena katika kitabu ambacho nilikisoma mwaka jana cha Mwl Julius K. Nyerere juu ya BINADAMU na MAENDELEO kama ulikuwa ufahamu sana kumhusu Nyerere katika upande wa kutuachia urithi …