Every habit and capability is confirmed and grows in its corresponding actions, walking by walking, and running by running …therefore if you want to do something make a habit of it ~ Epictetus Habari Rafiki, Upo hapo ulipo sasa sababu ya matokeo ya tabia ambazo umezijenga kwa kipindi fulani cha maisha. Tabia zetu zina mchango …
Monthly Archives: September 2018
445; Uchambuzi wa kitabu, The RULES of LIFE, A personal code for living better, happier and more successful life by Richard Templar ( SHERIA za MAISHA, Mwongozo wako wa maisha mazuri, ya furaha na ya kimafanikio )
Rafiki, karibu tujifunze pamoja na kisha tusibaki kufurahia maarifa bali tuchukue hatua ili maisha yabadilike. Umewahi waza kama kungekuwa hakuna sheria katika michezo yoyote ujuayo ingekuaje ?. Kama umewaza na kuona jinsi ambavyo hali ingekuwa mbaya, vurugu na hata michezo ingekosa ladha basi ni zaidi ya tatizo katika maisha ambayo yanaenda na hakuna sheria zinazomwongoza …
444; Mwaka 2018; Siku 99 mbele yetu njia ya kwenda mwaka 2019, NYOTA TANO za Mafanikio makubwa, na tulia kisha hesabu mwaka wako ulivyopukutika na ulichokipata au kupoteza
Time is a gift that most of us take for granted ~ Cheryl Richardson ( Muda ni zawadi tunaichukulia kawaida na kupuuzia ) Habari Rafiki, jana zilikuwa zimebaki siku 100 ili mwaka 2018 uweze kuisha na panapo nafasi na zawadi ya uhai basi mwaka 2019 utabisha hodi. Leo imepotea siku moja na kubaki siku 99. …
443; Ushindi wa siku yako unaanza asubuhi na mapema, huwezi kujua kama unapiga hatua kama hakuna alama ya ulipoanzia na jiandae kuwa kikombe kilicho tupu kila siku ya maisha yako.
KURASA 20 kila siku; KITABU ~ MEGALIVING:30 Days to A Perfect Life by Robin Sharma. ( Siku 30 za Maisha bora na kuishi kitoshelevu ) KITUO cha Tafakuri; Asubuhi unaanza na jambo gani ?, ubora wa siku yako unaanza na wewe mwenyewe katika vipaumbele utakavyoenda kuweka leo. Asubuhi ni sehemu ya siku yenye siri kubwa …
442; Hizi ndizo bei nafuu za kufikia ubobezi wowote katika maisha, je Uko TAYARI kulipia ? na ukiweza kusimamia masaa yako 24 katika siku utaweza kufanya mambo ambayo wengine huweza kufanya mpaka miaka ipite
Time mastery is life mastery ( tafsiri iso rasmi;Usimamizi mzuri wa muda ni mafanikio katika maisha ) KURASA 20 kila siku; KITABU ~ MEGALIVING:30 Days to A Perfect Life by Robin Sharma. ( Siku 30 za Maisha bora na kuishi kitoshelevu ) KITUO cha Tafakuri; Huwezi kupata ubobezi kwa njia ya mkato na ukitaka kufanya …
441; Siku ya 57, Anza kushughulika na mfumo wa kufikiri na Utajiri unaanza kwa kukubalika ndani ya akili yako kuwa umechoka kuwa maskini na haja yako ni kuwa tayari kutengeneza utajiri.
Kitabu Rejea; 8 SECRETS OF THE TRULY RICH by Bo Sanchez A lack of money is not the problem; it is merely a symptom of what is going on inside you ~ T. Harv Eker ZINGATIO; Tengeneza fikra za kitajiri kwanza katika fikra kisha utengeneze mfumo wa tabia zitakazokupa njia ya kuelekea utajiri. Huenda ikawa …
440; Anza na ulichonacho huku ukiwa na Ndoto kubwa ya kule uendako katika maono makubwa ya kiuchumi
Kitabu Rejea; HOW TO BUILD A MULTI BILLION DOLLAR BUSINESS IN AFRICA FROM SCRATCH by Strive Masiyiwa and compiled by Geophrey Tenganamba ( Namna ya Kujenga Biashara Kubwa toka chini barani Afrika ) You start with what you have, you do what you can, you invest what you get, so that you can do bigger …
439; Wiki ya fedha 2, Shairi la tafakuri
Mada; Vyanzo vya vipato. Beti 5 1. Chanzo kimoja ni shida, mshahara hautoshi Pia ufinyu wa muda, kimoja sawa na moshi Uwe nacho za ziada, ili uweze kuishi Chanzo kimoja taabu, jiongeze kufikiri 2. Kimoja kina hatari, siku hicho kikikoma Huwezi kuwa tajiri, kimoja kikishagoma Jipe muda ufikiri, ni wapi ulipokwama Kipato kimoja ta’bu, kikiwa …
438; MSINGI wa FEDHA, Hivi ndivyo vitabu 6 muhimu kuwepo katika maktaba za shule na vyuo kwa kujenga msingi wa ufahamu wa fedha na fikra za utatuzi wa matatizo katika jamii na kuanza safari ya kuelekea Uhuru wa kifedha mapema
Academic qualifications are important and so it financial education. They are both important and Schools are forgetting one of them ~ Robert Kiyosaki. ( Ufaulu kitaaluma ni kuzuri kama ilivyo elimu ya fedha. Vyote viwili vya muhimu ijapokuwa shule husahau kimojawapo ) Wiki ya fedha, wiki ya kuzungumza misingi ya fedha karibu Rafiki Jamii nyingi …
437; Wiki ya FEDHA, UMASKINI ni MBAYA, TUJIFUNZE FEDHA, TOA THAMANI, ONGEZA MAARIFA ya KIFEDHA na JIKUMBUSHE FEDHA zilikojificha ( maeneo 10
You can’t get rid of poverty by giving people money ~ the fresh quotes ( Huwezi kuondoa umaskini kwa kuwapa watu fedha ) Rejea ya maarifa; THE SCHOOL OF MONEY by Olumide Emmanuel ( Shule ya Fedha ) Rafiki ni juma la 37, wiki ya kuzungumza, kujifunza, kuchukua na kutengeneza fedha. Hakuna hali mbaya katika …