436; Ukiweza kuitawala siku yako ya masaa 24 basi safari ya kutawala akili yako itulie itakuwa nyepesi

Kitabu rejea; HOW TO LIVE ON 24 HRS A DAY by Arnold Bennett ( Namna ya Kuishi masaa 24 katika siku ) Rafiki naamini umesikia sana kuhusu muda kiasi kwamba hadi umechoka sasa kusikia. Katika maisha mambo madogo ambayo yamebeba maana ya maisha huwa yanapuuzwa na wengi licha watu kujua uzito wa hayo mambo. Na …

435; Siku ya 51, Hivi ndivyo vipande 5 katika Fumbo la maisha unavyopaswa kuvijua ufumbue ili uwe na maisha ya kupiga Hatua kubwa kila siku

Kitabu rejea; The FIVE MAJOR Pieces To The Life Puzzle, A Guide to Personal Success by Jim Rohn ( Vipande vikuu 5 vya Fumbo la Maisha, Mwongozo binafsi wa mafanikio yako ) Pakiwepo tu watu wengi basi ujue kila mmoja anaweza akawa anafikiri anavyoweza kufikiri. Huwezi kuzuia watu kufikiri wanavyoweza kufikiri. Na hii ndio inavyoonyesha …

434; Siku ya 50, Siku 50 kila siku katika kuchambua na kushirikisha Mobile chambuzi, kitabu cha leo katika mobile chambuzi na huduma mpya ya uchambuzi wote ( KNOWLEDGE GAP Level 1 )

Kitabu muhimu sana kukisoma; TAKE THE STAIRS, 7 Steps to Achieving true Success by Rory Vaden ( Panda NGAZI, Hatua 7 za Kufikia mafanikio ya kweli ) On becoming successful requires us to do things that are not easy and ordinary people don’t do. Habari Rafiki, siku zinaenda sana na kama huchukui hatua unajichelewesha sana …

433; Maisha baada ya CHUO, Vitabu vitano ( 5 ) unavyopaswa kuvisoma kukabiliana na uhalisia wa maisha nje ya elimu rasmi.

GO into the World and do well. But more importantly, go into the World and do good ~ Eminor Myers Jr. Maisha ni mfululizo wa mabadiliko kila siku. Kila siku mambo huenda yakibadilika huku mengine yakihitaji gharama kubwa sana kuweza kuyabadilisha au lasivyo wewe ubadilike. Maisha ya chuo ni maisha ambayo kila mtu au kijana …

432; KONA ya UHALISIA, Kuwa tayari kwa mabadiliko yoyote yatakayoweza kutokea katika maisha yako.

You can’t change what’s going on around you until you start changing what’s going on within you ~ Zig Ziglar Maisha yana fumbo na hakuna mambo yote huwekwa wazi hasa mambo ya maisha ya baadaye miaka 10 hadi 20 lakini jambo moja kubwa lenye uhakika kabisa ni kuwa mabadiliko hutokea hata kama mtu atashindwa kubadilika …

Design a site like this with WordPress.com
Get started