458; MAISHA na Ubobezi, Ungana na wanamafanikio wote Duniani kila ifikapo saa 11 asubuhi kwa kuanza maisha ya kufanya haya mambo 5 kila siku.

Habari Rafiki, naamini unaendelea vizuri Leo ni siku ya 30 ya mwezi Oktoba mwaka 2018. Tarehe kama hii na mwezi itajirudia lakini si mwaka huu tena. Hivyo kama bado unaona wakati upo jitafakari tena juu ya muda na nguvu zako kuwa hazitaendelea kuwepo siku zote ?. Kila siku huja kama fursa kwetu na sisi huwa …

457; Uchambuzi wa kitabu, WHAT YOUNG INDIA WANTS by Chetan Bhagat ( Nini wanakitaka Vijana wa India ?)

(Nini wanakitaka Vijana wa Tanzania ( Kwetu libakie swali hili ) Habari Moninga (Rafiki), nukuu moja ya mwanafalsafa wa Kigiriki aliyefia katika kusimamia misimamo ya kufundisha jamii kufikiri, kuhoji na kujua kweli, Socrates isemayo “The right way to begin is to pay attention to the young, and make them just as good as possible” ikiwa …

456; Mwaka 2018; Mambo 10 niliyojifunza siku 27 za Mwezi Oktoba, Nafasi 100 za UNIVERSITY of SUCCESS 100 na kama unajiuliza uanzaje kusoma vitabu basi soma makala hii mpaka mwisho.

Rafiki siku zinaenda kwa kasi sana, leo huwezi amini namna ambavyo mwaka umeenda kasi na ukiangalia maisha unajikuta muda umepita tu lakini hatua ambazo umepiga ni ndogo ukilinganisha na muda ambao ulikuwa umepata. Mbali na muda ambao umepita kama u bado hai ni zawadi ya pekee sana kumshukuru Mungu. Kila siku usipojua kuwa ni fursa …

455; Kilele cha Siku 100; Ushindi wa siku 100 na mambo 10 niliyojifunza siku 100, Nafasi 100 pekee za UNIVERSITY OF SUCCESS 100 ( CHUO KIKUU cha MAFANIKIO ) na zawadi ya Uchambuzi wa Kitabu kwa maisha bora utoke ulipo

Ukikosa kupongezwa nafasi pekee unayobaki nayo ni kujipongeza mwenyewe. Hongera Malenga wa Ubena kwa ushindi huu ambao umefika najifunza toka kwako Malenga kuwa safari ya maarifa si rahisi lakini umefanikiwa kufika kilele cha siku 100 ulizojipangia na umefika. Mungu akubariki sana na uzoefu ambao umepata wa mbio za siku 100, siku 100 zikupe sababu ya …

454; Uchambuzi wa Kitabu, “YOU CAN SELL”, Results are rewarded, efforts are not” ( UNAWEZA KUUZA ) by SHIV KHERA

WASIFU WA MWANDISHI SHIV KHERA ~ Ni muasisi wa kampuni ya “OUALIFEID LEARNING SYSTEM INC” huko Marekani akiwa ni raia wa India, ni mwandishi wa kimataifa, mwalimu na mshauri wa masuala ya biashara, mjasiriamali mwenye mafanikio makubwa, mhamasishaji ambaye amekuwa akigusa maisha ya watu wengi sana kupitia nafasi yake ya kuwa msemaji maalumu katika uhamasishaji …

453; Ishi maana siku hutapata nafasi tena ya kuishi na sadaka kubwa kuliko kuitoa katika maisha ni kutoa muda wako kwa ajili ya maisha ya watu wengine.

Kitabu rejea; RESIELENCE, Hard won Wisdom for living a better life by Eric Greitens ( USTAHIMILIVU, Hekima za ushindi za Kuishi Maisha bora) Nukuu ya tafakuri; Sadaka kubwa kuliko ni sadaka ya kutoa muda kwa ajili ya wengine na kuna siku kifo kitabisha hodi kuny’ang’anya zawadi ya uhai hivyo usijicheleweshe kuishi sasa. Maisha yetu ni …

452; Uchambuzi wa Kitabu, INFLUENCE, 47 Forbidden Psychological Tactics you can use to motivate, influence and persuade your prospect” by Dan “the man” Lok ( Mbinu 47 zisizo halali za kisaikolojia za kiushawishi zinazoweza kukuhamasisha na kukushawishi kumfikia mteja mtarajiwa )

Na Samwel Gunda gundasam08@gmail.com ANGALIZO: Haiba ya mwandishi ni mtu ambaye anatumia maneno makali sana ambayo hayazingatii sana matumizi ya tafsida au lugha ya kificho lakini pamoja na hilo bado anavyo vitu vizuri na ukweli mchungu ambao tunaweza kujifunza juu ya uhalisia wa maisha ya safari ya kuwa huru kiuchumi. WASIFU WA MWANDISHI Dan” the …

451; Pasipo kuchukua hatua utakacho hutakipata na maisha yafaa kuwa na tafakari ya kile umekichukulia hatua ili ujue ukweli na ukweli katika maisha ni kupata njia sahihi ya kufanya vitu au mambo.

Some people believe that they already know everything worth knowing ~ Eric Greitens ( Wengine wanajua tayari washajua walichopaswa kujua ) Kitabu rejea; RESIELENCE, Hard won Wisdom for living a better life by Eric Greitens ( USTAHIMILIVU, Hekima za ushindi za Kuishi Maisha bora) KITUO cha Tafakuri; Lini utaanza kuchukua hatua ? Je unajua unachokikosa …

450; SHITUKA, Kuna njia ya kutokea sema hujaijua

NJIA ya KUTOKA; Fahamu hatua 5 ambazo ukifanyia kazi eneo lolote katika maisha yako utapata matokeo makubwa Habari Rafiki, bila shaka unaendelea na hatua zako za kujisukuma kujivua mazoea na kujenga nidhamu ya hali ya juu ya hatma ya maisha yako. Ulipo hapo umekwama sababu ya kukosa maarifa ya kukutoa hapo ulipo na kwenda hatua …

449; Unaweza kupata chochote katika maisha kama tu ukikubali na kulipia gharama ya kukifanyia mazoezi kila siku

Kitabu rejea; RESIELENCE, Hard won Wisdom for living a better life by Eric Greitens ( USTAHIMILIVU, Hekima za ushindi za Kuishi Maisha bora) KITUO cha Tafakuri; Jinsi uonavyo wengine wafanyavyo mambo kirahisi hadi ukavutiwa jua kuna siku waligharamikia kufanyia mazoezi ya kufikia hapo. Na wewe unaweza kama utakuwa tayari kuingia mazoezini ( Take a practice …

Design a site like this with WordPress.com
Get started