LETTERS FROM A STOIC by Seneca ( Barua toka kwa Wastoa ) As you rise with the Morning Sun think of what a precious privilege it is to be alive, to breathe, to think, to enjoy, to love ~ Marcus Aurelius ( Pale uamkapo ona ni nafasi ya pekee sana ya kupumua, kufikiri, kufurahia na …
Monthly Archives: October 2018
447; UCHAMBUZI WA KITABU, F.U MONEY “Make the Money As you Damn well want And live your life as As you Damn well please” by Dan “The Man” Lok( Kuwa na Fedha ya Maisha utakayo )
ANGALIZO: Haiba ya mwandishi ni mtu ambaye anatumia maneno makali sana ambayo hayazingatii sana matumizi ya tafsida au lugha ya kificho lakini pamoja na hilo bado anavyo vitu vizuri na ukweli mchungu ambao tunaweza kujifunza juu ya uhalisia wa maisha ya safari ya kuwa huru kiuchumi. WASIFU WA MWANDISHI “DAN THE MAN LOK” Alizaliwa huko …