Habari rafiki yangu. Ni siku mpya i mikononi mwetu. Nafasi hii ya kuwa hai ni ya muhimu sana na ndio inayotupa thamani Duniani. Bila kuwa na zawadi hii ndo unaona pale jana mtu alikuwa mzima na leo amekuwa mzigo wa kuwekwa nyuma ya gari na hata mataminio ya watu ambao jana walimpenda sasa hawawezi kumkaribia …
Continue reading “631; Maisha yanakwisha kila siku. Tutaghairisha hadi lini ?”