Je ungoje kuweza kuishi unachokisema kabla ya kusema ?. Je useme kisha uende kuchukua hatua kuishi ulichokisema?. Ni maswali magumu ambayo unaweza kujiuliza wewe au watu wengine kuwauliza wanaoandika au kusema kitu kwa wengine. Kuishi ni zoezi gumu na linataka uanze kuwa muwazi kwako mwenyewe kabla ya watu wengine kuwa tayari kukuona u muwazi. Ni …
Continue reading “Kuishi unachokisema ni kazi ngumu. Ila izoe hivyo hivyo.”