Uzuri wa muziki una mambo makubwa mawili nifahamuyo. Moja ni uzuri wa upigwaji wa chombo husika na pili ni ustadi wa mwanamuziki mwenyewe katika anachokiimba au anachokipiga. Ninapenda kujifunza mengi katika ulimwengu wa muziki na vyombo vya muziki. Leo nikukaribishe katika safari ya chombo ninachokihusudu sana kiitwacho “SAXOPHONE” au kwa lugha ya mtaani wanakiita mdomo …
Continue reading “Safari ya Muziki [01]; Mdomo wa bata na pumzi”