Asili ina utajiri wa uzuri. Tazama anga lilivyo na usiyanyime macho yako kuzunguka kuona uzuri tele wa asili Mwendelezo wa masomo ya asili ni kiu yangu kila siku. Asili imekuwa inafunua siri nyingi za maisha na zenye kutufikirisha ukuu katika kila hatua tusogeayo maishani. Asili ina utajiri wa hekima na maarifa ya kutusaidia tujue kuishi …
Continue reading “Masomo 7 ya Kiuongozi kutoka katika asili”