Nikiwa katika kutembea njiani nakutana na kitu kinanifikirisha akilini namna chochote ambacho siku za nyuma nilifanikiwa kukipata kuna jambo moja kubwa limekuwa lajitokeza zaidi nalo ni “JITIHADA”. Muda wa kutafuta kila njia kwa kufanya kazi iwe kwa udogo au ukubwa ndivyo ambavyo lile jambo ambalo nilikuwa nalitaka lilikuwa karibu kulipata. Napopata wazo la kuandika huwa …
Continue reading “Unachokitaka unaweza kukifikia- Endelea kuweka JITIHADA”