Kughairisha ni mlima, uvivu ni mlima, kutothubutu ni mlima. Mlima una vikwazo na kufika juu ya mlima basi lazima upande na kutoruhusu vikwazo vikufanye usifike juu kileleni. Maisha yetu ni mikusanyiko ya vilima mbalimbali ambavyo bila kuwa tayari au kuwa watu jasiri hatuwezi kupata ushindi wowote mkubwa maishani. Kughairisha ni kikwazo kikubwa sana ambacho kinatuchelewesha …
Continue reading “Ninatazama Mlima – “Natakiwa nipande na kufika juu kileleni””