Nikiwa katika tafakari nazozifanya kila siku ya maisha yangu, huwa nafikirishwa na pande mbili za mambo. Mambo mazuri na mabaya, Mambo mazuri tunayotamani kuyafanya maishani hutupa taabu kuyafanya ingawa yamebeba manufaa na wakati huo huo mambo mabaya huja kiwepesi na kukaa nasi iwe kazi kuyaacha. Tafakari hii inayaakisi maisha yangu na maisha ya watu wengine …
Continue reading “Mambo mazuri ni magumu kuyafanya – ‘Jitoe kuyafanya yana Tija””