Mambo haya 5 Yanakimbiza Wateja katika Biashara yako.

Biashara ni kiungo muhimu katika safari nzima ya kufikia mafanikio ya kiuchumi sehemu zote Duniani. Biashara inahusisha ubadilishanaji wa thamani kupitia bidhaa au huduma katika mfumo wa uuzaji na ununuaji. Wateja ndio injini ya biashara iendelee kuwepo au kufa. Wateja wanakuja katika biashara kwa msukumo wa mambo mawili; Mosi ni kutafuta kukidhi mahitaji fulani fulani …

Kupata Pesa dhidi ya Kutunza Pesa ?

Katika pita pita yangu nimekutana na mjadala mzito wa watu kuhusu mambo makubwa mawili kuhusu pesa. Kundi la kupata pesa na kundi la kutunza pesa. Ukiingia ndani kwa kina utaona haya maneno mawili yana tofauti kubwa. Kupata na kutunza. Unaweza kupata na usitunze. Huu udadisi ukanifanya nikutane na kitabu kimoja mtandaoni kiitwacho “The Psychology of …

Uchambuzi wa Kitabu -Persuasive Copywriting Using Psychology to Influence, Engage and Sell by Andy Maslen [Saikolojia Katika Ushawishi na Uuzaji wa Maudhui]

Dunia inakua kila siku hasa eneo la mawasiliano na majukwaa ya mtandaoni. Uwepo na ukuaji wa mitandao ya kijamii unaipeleka Dunia kuwa na ongezeko la watu hadi kufikia watu zaidi ya bilioni 5 kufikia 2040 watakaokuwa katika mitandao ya kijamii (Digital World). Hii ni dhahiri namna Dunia itakuwa zaidi ya kijiji kwa wakati huo.  Mapinduzi …

Tembea Maeneo tofauti tofauti ili Ujifunze Mambo Mapya.

Ufanyikaji wa biashara wa eneo moja na lingine hufanywa tofauti na kama ni mfanyabiashara anayetembea maeneo tofauti tofauti anapata vitu vipya na vitu vipya vinasaidia kukuza biashara yake. Kutembea eneo mbali na unapofanya kazi yako au shughuli za kujitafutia riziki kunapanua kuona mambo au kujifunza njia mpya ya kuendesha biashara au uuzaji wa bidhaa au …

Mtiririko [Flow] Unapojitokeza Ndani Yako Usiuzimishe, Bali Upe Njia.

Safari yangu ya uandishi na ushairi nimekutana na hali ambazo awali nilishangaa sana maana sikupata kuzielewa. Hizi hali ni pale ambapo kujikuta napata msukumo usiokauka wa kuandika au kutunga mashairi bila kuchoka na wakati huo nikiwa napitia hali nzuri ndani yangu nisoweza kuelezea. Hizi hali zimekuwa zinajitokeza mara kwa mara na nilijipa ahadi kuwa zikiendelea …

Unahitaji utulivu ili uchukue hatua bora

Mwaka 2017 ilikuwa mara yangu ya kwanza kufahamu falsafa na falsafa ambayo nimetokea kuipenda na kuendelea kujifunza kila siku ni falsafa ya Ustoa. Moja ya jambo kubwa nilovutiwa na falsafa hii ni juu ya kumsaidia mtu kujenga utulivu wa ndani. Utulivu wa ndani kama ikifananishwa na bidhaa sokoni basi ni bidhaa adimu sana katika zama …

Upendo ni Nguvu, Kazi bora ni matokeo ya upendo.

Kama ilivyo chuki au hofu zilivyo na nguvu kubwa maishani ndivyo upendo ulivyo na nguvu kubwa katika maisha yetu ya kila siku. Katika maisha tunaongozwa na hizi nguvu kubwa mbili; Hofu na upendo. Ingawa asimilia kubwa hofu imekuwa inaongoza kuliko upendo. Upendo una nguvu kubwa ya kuumba kitu chenye ubora kuliko hofu. Ubora wa kazi …

Design a site like this with WordPress.com
Get started