Orodha ya Vitabu 50; 2020 Katika Mwaka Wenye Changamoto Nyingi. # Maarifa ni Njia#

Mwaka huu nilijiwekea lengo la kusoma vitabu vichache “vitabu 22” tu ili niweze kuvidadavua kwa kina kitabu kimoja hadi kingine, lakini haikutokea hivyo kufuatana mwaka huu 2020 kuwa na mabadiliko mengi ya mambo. Hivyo nikajikuta nasoma vitabu vingi vingi kujifunza mambo mengi zaidi kuliko wakati mwingine wowote ule. Nimejaribu tu kuangalia katika baadhi ya vitabu …

Design a site like this with WordPress.com
Get started