Kuendelea kufanya kitu kila siku sio kazi ndogo katika maisha yetu ya kila siku. Siku huwa hazifanani, kuna siku unaamka huna morali ya kufanya kitu na zipo siku ambazo unaamka una morali au hamasa ya kufanya kazi. Hivyo si jambo linaloweza kuwa jepesi kuwa kila siku uendelee kuwa na morali ile ile kama siku za …
Continue reading “ANZA 7; Kazana Kila Kila Siku, Unapoenda Licha Ni Mbali ila Ni Karibu.”