Biashara huunganisha makundi mengi ya watu duniani na biashara imekuwako toka zama kale nyingi ambapo binadamu hakutumia pesa kupata mahitaji yake bali kulifanyika biashara ya mabadilishano ya vitu toka pande mbili. Mtu mmoja alileta ng’ombe na akabadilishana na mazao. Kadri zama zilivyoenda zikibadilika ndipo palipozaliwa mfumo mpya wa kufanya biashara ambao unatumia pesa kuwa ndo …
Continue reading “Baadhi ya Sababu 06 Zinazopelekea Watu Kushindwa Kurejesha Mkopo”