Kuchoka, kutojisikia na kukosa nishati ni moja ya dalili mbaya sana za kufanya usipige hatua kubwa katika maisha. Licha unaweza ukawa na muda wa kutosha, lakini kama umeamka umechoka, siku yako hujisikii kufanya kitu, nguvu huna za kujisukuma kufanya mambo basi huo muda hauna maana kwako, maana si katika usimamizi wa muda pekee tunakopigania katika …
Category Archives: Uncategorized
382; Uchambuzi wa kitabu; SELF IMPROVEMENT 101 by John Maxwell ( Uboreshaji binafsi, na namna unavyoweza kufanikiwa zaidi )
Kama mmea hauki unapoteza sifa ya ukuaji, na hata kama ni mtoto ambaye haonyeshi dalili za ukuaji wake basi mzazi lazima ajiulize sana shida nini ?, nini tatizo la kudamaa kwa mtoto wake. Lakini swali hili ambalo huwa linaulizwa katika mifano hii kwanini mmea haukui, au ardhi haimei ? linakosa kuulizwa pale linapoulizwa katika sura …
381; Hatua za hatari; Unapokosa hewa na hitaji la hewa linapokuwa Kubwa
Hatua za hatari; # Nukuu yangu ya kila siku, siku za kuwa hai ~ Nitajikana, nitajisukuma isivyo kawaida, na ninakubali kuwa mimi ndio najichelewesha siku zote. Sitashindana na mtu , zaidi ya mimi wa jana siku zote za maisha yangu Siku moja kama hii ya leo ni zawadi na kama tukiipa uzito inatosha sana kutupeleka …
Continue reading “381; Hatua za hatari; Unapokosa hewa na hitaji la hewa linapokuwa Kubwa”
380; Uchambuzi wa Kitabu, THINKPAK, A Brainstorming Card Deck Michael Michalko ( Zana ya Tafakuri, na Kanuni 9 za Uzalishaji Majibu ya Changamoto )
Elimu ya tafakuri ni muhimu sana kwa kila mmoja kuwa na ufahamu ni kwa namna gani changamoto zinazojitokeza katika maisha ya kila siku ziweze kutatuliwa kwa njia au kanuni ambazo zipo na zinahitaji kupewa uzito na kutumika katika maisha ya kila siku. Tafakuri binafsi au ya kundi juu ya tatizo fulani ni njia mojawapo ya …
379; Hatua za Hatari, Kitabu Kimoja Kabla Siku haijaisha ( THINKPAK by Michael Michalko ) na Bonasi ya Maarifa.
Hatua za Hatari # Nukuu yangu ya kila siku, siku za kuwa hai ~ Nitajikana, nitajisukuma isivyo kawaida, na ninakubali kuwa mimi ndio najichelewesha siku zote. Sitashindana na mtu , zaidi ya mimi wa jana siku zote za maisha yangu. Habari ya asubuhi Rafiki, ni siku nyingine tena ya kipekee sana ambayo Mungu katupa nafasi …
378; Hatua za Hatari; Nitajisukuma isivyo Kawaida na misingi 2 ya kwanza kuijenga katika maisha yangu
HATUA ZA HATARI. # Nukuu yangu ya kila siku, siku za kuwa hai ~ Nitajikana, nitajisukuma isivyo kawaida, na ninakubali kuwa mimi ndio najichelewesha siku zote. Sitashindana na mtu , zaidi ya mimi wa jana siku zote za maisha yangu. Maisha ni mapambano hilo uanze kujua kama ulikuwa hujui, na kama ulijua ila ukaweka wepesi …
377; Uchambuzi wa Kitabu~ I, STEVE by Steve Jobs ( Steve Jobs Katika Nukuu za Maneno Yake ), Mambo 25 ya kujifunza katika tawasifu yake.
Agosti 24, 2011 Kwa Bodi ya Wakurugenzi na Jamii ya Apple. Nimekuwa nikisema mara kwa mara kuwa ufikapo wakati ambao sina tena nguvu za kufanya kazi na kufikia matarajio ya kampuni ya Apple kama Mkurugenzi mkuu, nitakuwa wa kwanza kuwajulisha nyie kuwa siwezi tena kuendelea. Lakini wakati niloungoja umenifika sasa wa kujiuzulu kama Mkurugenzi Mkuu …
376; Uchambuzi wa Kitabu, 17ANTI~PROCRASTINATION HACKS by Dominic Mann ( Mbinu 17 za Kushinda Kughairisha, Kushinda Uvivu na Kukamilisha Kazi )
Kughairisha mambo ni tatizo duniani kote, watu wamekuwa wakifanya hivyo na kazi kushindikana kufanyika. Maana kughairisha hakuleti tu mzigo wa kufanya kazi, msongo mkubwa wa mawazo, hofu au kujilaumu lakini pia hukwamisha kukamilika kwa kazi husika na kwa wakati. Ni tatizo ambalo hata watu wakuu katika historia walipitia na ilibidi zitumike njia mbalimbali kuhakikisha wanashinda …
375; Hatua ndogo, Kubwa na Ushindi wa Kitabu Cha The SCHOOL OF MONEY by Olumide Emmanuel
Habari mfuatiliaji wa kurasa kwa kurasa wa kitabu cha The School of Money cha mwandishi Emmanuel Olumide, kwanza kabisa nikupe pongezi kwa kufuatilia mwanzo wa moduli za fedha, elimu ya fedha, kutengeneza Utajiri na Ujasiriamali na mwisho moduli mbili za Mafanikio ya Kweli na Urithi na Kuacha Alama Duniani. Safari yoyote ile huanza na hatua …
374; Hili ndilo JANGA ambalo linakuletea taabu/maafa katika malengo, ndoto na maono yako.
Mtu akianza na neno moja kwa moja na neno janga, basi inaogopesha na kutetemesha sana katika masikio ya mtu. Janga halina uzuri wala furaha ndani yake, janga laleta maafa na taabu katika maisha ya watu. Huenda ni gonjwa au mabadiliko ya kitabia ya nchi kuleta janga ambalo linakuwa si salama kabisa, ila lenye hatari kubwa …