HAZINA I KITABUNI

Habari ndugu Yangu na mfuatiliaji wa makala hizi kila siku, tunayo kila sababu ya kumshukuru Mungu kutupa siku mpya tena, imekuja kwa kusudi na hivyo ni wajibu wetu kuitumia vyema nakufikia malengo ulojipangia katika siku Kuna huu msemo usemao ukitaka kumficha mwafrika basi ficha kitu katika kitabu, huenda ni kweli lakini sitaki kuendelea nami kuamini …

HII NI KAZI NGUMU KULIKO

Habari ndugu mfuatiliaji na msomaji wa makala hizi, siku zinasogea Sana ukitaka kujua sinasogea siku sio nyingi kuna sikukuu ya werevu ilikuwepo na wengi waliitumia ikapita, Leo ukiangalia saa au kalenda yako inakuambia siku zinaenda. Swali ni nini unakifanya wakati muda unajongea na kuondoka Mtu akiambiwa Kazi basi moja kwa moja hujifikirisha kuhusu kuwa daktari, …

MAISHA HAYANA MARUDIO

Habari mfuatiliaji wa makala hizi, ni siku nyingine mpya ambayo Mungu katupa tufanye kitu fulani na sio siku iende tu. Maana ikipita imeshapita hakuna siku za marudio Imekua kawaida endapo kama ni mtihani umefeli basi unaweza pewa nafasi ya kufanya marudio, au kama ni shughuli umelipua unaweza ipata nafasi ya marudio Lakini sio eneo la …

ACHA KULIA, JAMBO LAKO LA MUDA

ACHA KULIA, JAMBO LA MUDA TU Habari ndugu msomaji wa makala katika figa la ushairi, katika maisha umewahi siku kutoa chozi laweza kuwa ni furaha au huzuni. Ila kulia ni jambo ambalo limegusa karibu kila mtu duniani kwa wakati wake alijikuta akitoa mchozi Ni siku mpya nyingine tena Mungu katupa ni kama kurasa za kitabu …

KAMA INGEWEZEKANA

KAMA INGEWEZEKANA Kama ingekuwa inawezekana kukwepa, ningelikuwa mmoja wapo. Na kama ingekuwa ni kwa kulipa ningelienda machimboni nipate madini nilipe, ingekuwa ni kwa kufanya matendo mema ningejitahidi nifanye Sana, na kama ingekuwa kuna hongo pengine ningeshawishika kutoa, lakini huu ni mtihani ambao kila mmoja atafaulu awe, uwe, niwe nimesoma nitafaulu. Kifo kimebeba ndoto nyingi, nyimbo, …

Design a site like this with WordPress.com
Get started