Maisha ili yabadilike yanahitaji mambo machache unayoweza kufanyia kazi na kujitengeneza nidhamu ya kutenda zaidi kuliko kuishia jambo kulijengea picha pekee. Unabadilika kwa kutenda maana kwa kila tendo huja matokeo. Usomaji wa vitabu ni tabia kama tabia zingine zinazotengenezwa na mtu mwenyewe. Unavyorudia rudia kufanya kitu ndivyo hicho kitu au hali inavyojipa nguvu ya kuyaongoza …
Continue reading "Nakosea wapi – Nasoma vitabu vingi ila sioni mabadiliko"