Habari rafiki yangu. Naamini unaendelea kujifunza kila siku katika maisha bila kuacha. Nikiwa katika darasa la maisha nimejifunza kitu kimoja kikubwa ambacho wengi kwa nyakati tofauti tofauti tumekuwa tunapuuza. Jambo hili ni juu ya kujisahau pale ambapo tunaona kitu kipo na kinaendelea kuwepo nasi tukifikiri wakati wote kinaweza kuendelea kudumu. Usipokuwa mwangalifu basi katika maisha …
633: Uchambuzi wa kitabu- UNIVERSAL LAWS: 18 Powerful Laws & Secrets behind Manifesting Desires by Jennifer Neill.
Katika maisha hakuna kitu kigumu kama kubadili kile ulichokuwa unakiamini na kukaribisha namna nyingine ya kitofauti ya kuona vitu. Hili ni jambo ambalo linachukua muda ndani ya mtu mpaka pale anapokuwa amekubali yeye mwenyewe kubadilika na kuruhusu kuona vitu kwa namna nyingine ya kitofauti. Hili linakuwa gumu kubadilika kwa mtu ukiangalia pia namna malezi na …
632; Mambo 5 niliyojifunza mwezi Juni na vitabu 3 navyokualika uweze kuvisoma eneo la Utele ( Abundance )
Maisha ni darasa na kila siku tunavyoweza kuwa tayari kujifunza basi hutupa masomo na kutukaribisha na hekima moja kwa moja. Kila siku ya maisha yetu iko kutufungulia njia au kurasa mpya za maisha ambayo pengine hatukuwahi kuwaza huko nyuma. Karibu katika tafakari ambayo nimekuwa nazifanya katika maisha yangu kuangalia nilipo na wapi wakati kama wa …
631; Maisha yanakwisha kila siku. Tutaghairisha hadi lini ?
Habari rafiki yangu. Ni siku mpya i mikononi mwetu. Nafasi hii ya kuwa hai ni ya muhimu sana na ndio inayotupa thamani Duniani. Bila kuwa na zawadi hii ndo unaona pale jana mtu alikuwa mzima na leo amekuwa mzigo wa kuwekwa nyuma ya gari na hata mataminio ya watu ambao jana walimpenda sasa hawawezi kumkaribia …
Continue reading "631; Maisha yanakwisha kila siku. Tutaghairisha hadi lini ?"
630; Kanuni ya masaa 10,000 na Kujitoa mzima mzima masaa 20 katika utulivu wa juu.
Kujifunza na kukijua kitu huchukua muda. Hakuna njia utatumia ya mkato ya kuhamisha maarifa kisha yakajaa katika fikra zako bila kufikiri juu ya muda wa uwekezaji wake. Ndipo linapokuja suala la kuanza mapema kujifunza vitu, kusoma vitu ili kupunguza gharama kubwa ya kujua vitu baadaye na muda ukiwa umeenda sana. Utakuwa umesikia sana juu ya …
629; Utangulizi- Uchambuzi wa kitabu – YOU BECOME WHAT YOU READ by Vick S ( Unakuwa kwa kile usomacho )
Mtu ni zao la kile anachokula au kuingiza ndani yake. Iwe kwa chakula hujenga mwili wake na iwe kiingiacho kupitia milango yake ya fahamu humjenga au kumbomoa ndani ya mfumo wake. Ndipo ambapo huja mtu huwa kwa vile anavyovisoma si vitabu pekee ila chanzo chochote kile cha taarifa iingiayo ndani yake. Hakuna tabia bora ambayo …
628; Hatudaiwi kodi kwa kuwa na ndoto kubwa.
Kitu pekee ambacho huwa kinanivutia sana ninaposoma vitabu ni kupata mambo mapya yasokoma mbali na mtizamo mpya wa kuyaona mambo. Kuona mambo mapya kuanzia fikrani ndiko kunakosaidia katika utendaji bora wa hatua za kila siku za maisha yetu. Hii ni faida kubwa mno ya usomaji wa vitabu kwa mabadiliko ya mfumo wako wa kufikiri. Wiki …
Continue reading "628; Hatudaiwi kodi kwa kuwa na ndoto kubwa."
627; Kila tabia unayotaka iwe sehemu ya maisha yako ina gharama ya kulipia.
Habari rafiki. Naamini unaendelea vizuri na hatua zako za kila siku. Maisha yetu ni mafupi kuendelea kughairisha mambo na kusema huenda kesho utaanza. Wakati unaosema kesho utaanza huwezi jua ambayo yanaweza kutokea leo na ukapoteza fursa ya kufanya vitu sasa. Uhai wetu ndio thamani kubwa ya mtu kuliko chochote kile maana hakuna fedha wala chochote …
Continue reading "627; Kila tabia unayotaka iwe sehemu ya maisha yako ina gharama ya kulipia."
626; Unachelewa kufanikiwa sababu ya mfumo unaotumia kufikiri umepitwa na wakati.
Habari rafiki yangu. Naamini umeanza siku yako bora kwa kuanza na kutambua nafasi ya kuwa hai ni zawadi na pili kujiandaa kuishi na kuwa tayari kuwa daraja kwa ajili ya watu wengine. Thamani ya maisha ni maisha kuwa makubwa kuzidi sisi. Ikiwa na maana kujisahau wewe kwa muda usaidie na wengine waone mwanga wapi walitakiwa …
Continue reading "626; Unachelewa kufanikiwa sababu ya mfumo unaotumia kufikiri umepitwa na wakati."
625; Zuia hasira na usiamue jambo wakati ambao akili yako haipo.
Rafiki leo ni siku mpya. Leo ni zawadi ambayo tumeipata tena katika maisha yetu. Nafasi hii ya uhai ni ya pekee sana kuwa na moyo wa shukrani namna ukifikiria ni nafasi ya ukomo siku itaisha. Tukishajua ni zawadi basi maisha yetu yaendelee kuwa daraja bora kwa wengine. Utakuwa umewahi kusikia mara nyingi juu ya msemo …
Continue reading "625; Zuia hasira na usiamue jambo wakati ambao akili yako haipo."