Habari Rafiki. Karibu katika mwendelezo wa safari ya maarifa kila siku za maisha yetu. Maarifa ni mwanga na ndio njia ya mkato ukitaka kufanikiwa na kufanya makubwa. Najua wewe nawe kwa namna moja utakuwa umewahi kuona namna baadhi ya watu wakivuta utajiri, mafanikio, nguvu na mambo yote bora katika maisha kama wanafanya hayo yatokee kwa …
Continue reading "614: Huu ndio ufunguo ambao kila mmoja anao wa kuweza kutumia kufanikiwa."